Nawakumbusha Yanga SC kuanza maandalizi ya msimu mapema

Mkalapa boy

Member
Joined
Aug 19, 2021
Posts
84
Reaction score
172
Viongozi wa Yanga nawaomba mfanye maandalizi ya timu mapema siyo mnaleta ligi ya digital design kwani kombe linatolewa kwenye design hiyo.

Watani wetu ndo wamepaa Leo, mkileta mzaha mafanikio tutaona tu kwa jirani ambaye yuko serious.

Sisi tutachukua kombe la digital design
 
Bado wanapambania Aziz Ki anawaringia utadhani ndo mchezaji pekee Duniani.
Aziz Ki mpaka sasa keshasusa mara 36 na bado viongozi wa Uto wanammbembeleza eti!
 
Hata mwaka jana mlisema hivihivi, ooh wanasajili wanamuziki wa Congo tu hawana lolote... the rest is history!

IMG_0630.jpg
 
Bado wanapambania Aziz Ki anawaringia utadhani ndo mchezaji pekee Duniani.
Aziz Ki mpaka sasa keshasusa mara 36 na bado viongozi wa Uto wanammbembeleza eti!
Hapo bado hajakutana na Morrison akamfundisha usela mavi, aloooohh utopolo kazi wanayo
 
Sisi kambi zetu huwa hazina mbwembwe,kama mwaka Jana tulivyokuwa na kambi mbovu na tukachukua makombe yote matatu
 
Tulikuwa na kambi mbovu na tukaliza ligi unbeaten,tena tukianza kwa kuchukua Community shield kwa kumpiga mwenye pre season bora zaidi
 
Bado wanapambania Aziz Ki anawaringia utadhani ndo mchezaji pekee Duniani.
Aziz Ki mpaka sasa keshasusa mara 36 na bado viongozi wa Uto wanammbembeleza eti!
Lile deal la aziz ki lilikuwa ni la kuombea kura tu ila ngoma ngumu wamebaki kupost funguo.
 
Yaani mpaka leo akili zenu za ki local kwa hyo kumfunga simba na kuchukua league ndo ukubwa wa team mkifika kimataifa mechi mbili mnarudi kigamboni kuuza Madrid kumbuka al ahly ni team kubwa Africa sio kwa kuchukua league ya ndani mkifanya mchezo mtaganda hapo kwenye 0.5 mpka geita gold itakuja kuwapita.
 
Lengo la GSM ilikuwa kukamata timu kaishaikamata subirini uchaguzi ukikaribia ndio mtaona usajili wa maana,GSM wanatumia mbinu za CCM,kujifanya mwema mwaka wa uchaguzi baada ya hapo ni kuisoma namba
 
Tulikuwa na kambi mbovu na tukaliza ligi unbeaten,tena tukianza kwa kuchukua Community shield kwa kumpiga mwenye pre season bora zaidi
Mkuu sijui mnamuelewa mtoa mada! Huyo anazungumzia klabu bingwa.Hivi ninyi mashabiki mna ubongo kweli au emeexpire?Timu inapaswa kujiandaa na mashindano ya Kimataifa.
 
Kwa hiki kikosi tulicho nacho bila hata ya New signings kucheza,mashindano ya klabu bingwa Africa tunaingia hatua ya makundi na bila hata Pre-season nzuri
 
Yaani mpaka leo akili zenu za ki local kwa hyo kumfunga simba na kuchukua league ndo ukubwa wa team mkifika kimataifa mechi mbili mnarudi kigamboni kuuza Madrid kumbuka al ahly ni team kubwa Africa sio kwa kuchukua league ya ndani mkifanya mchezo mtaganda hapo kwenye 0.5 mpka geita gold itakuja kuwapita.
Kwa kikosi hiki tulicho nacho kwasasa bila hata kuwatumia new signings na hata bila pre season nzuri tunafika hatua ya makundi klabu bingwa Africa

Kama mnatulazimisha tufanye pre season nzuri basi tutafanya,na kufika Nusu fainali ya klabu Bingwa Afrika na huku local league kila tutakae mgusa atakula goal nyingi sana

Cha msingi mtuombee tuwe na pre season mbovu zaidi ili msimu ujao tuchukue makombe 3 ya ndani kama msimu huu
 
Rejea Topic.viongozi wa Yanga nawaomba mfanye maandalizi ya timu mapema siyo mnaleta ligi ya digital design kwani kombe linatolewa kwenye design hiyo .Watani wetu ndo wamepaa Leo .mkileta mzaha mafanikio tutaona tu kwa jirani ambaye yuko serious.Ss tutachukua kombe la digital design
Kila jambo linakwenda kwamipango na sio kuangalia nani kafanya nini, kila timu ina mipango yake na usisahau yanga kamaliza michezo yake trh 2 mwezi huu, wale makolo walikuwa washafungashiwa virago siku nyingi washaenda kupumzika kwaiyo kuwahi kwao kuondoka ni sawa tu kwa maana walitangulia kupumzika
 
Bado wanapambania Aziz Ki anawaringia utadhani ndo mchezaji pekee Duniani.
Aziz Ki mpaka sasa keshasusa mara 36 na bado viongozi wa Uto wanammbembeleza eti!
KOLO hebu tupe updates kuhusu Aziz Ki

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo bado hajakutana na Morrison akamfundisha usela mavi, aloooohh utopolo kazi wanayo
We KOLO tuliaaa...usithubutu kuingilia issue za MABINGWA.

Nyie mnajua haya tu [emoji23]
images%20(15).jpg
 
Lile deal la aziz ki lilikuwa ni la kuombea kura tu ila ngoma ngumu wamebaki kupost funguo.
KOLO nyamaza...!

Aziz Ki amesajiliwa wapi?

Kama inauma chomoa
 
Back
Top Bottom