Mkalapa boy
Member
- Aug 19, 2021
- 84
- 172
Hata mwaka jana mlisema hivihivi, ooh wanasajili wanamuziki wa Congo tu hawana lolote... the rest is history!
Hapo bado hajakutana na Morrison akamfundisha usela mavi, aloooohh utopolo kazi wanayoBado wanapambania Aziz Ki anawaringia utadhani ndo mchezaji pekee Duniani.
Aziz Ki mpaka sasa keshasusa mara 36 na bado viongozi wa Uto wanammbembeleza eti!
Lile deal la aziz ki lilikuwa ni la kuombea kura tu ila ngoma ngumu wamebaki kupost funguo.Bado wanapambania Aziz Ki anawaringia utadhani ndo mchezaji pekee Duniani.
Aziz Ki mpaka sasa keshasusa mara 36 na bado viongozi wa Uto wanammbembeleza eti!
Yaani mpaka leo akili zenu za ki local kwa hyo kumfunga simba na kuchukua league ndo ukubwa wa team mkifika kimataifa mechi mbili mnarudi kigamboni kuuza Madrid kumbuka al ahly ni team kubwa Africa sio kwa kuchukua league ya ndani mkifanya mchezo mtaganda hapo kwenye 0.5 mpka geita gold itakuja kuwapita.Tulikuwa na kambi mbovu na tukaliza ligi unbeaten,tena tukianza kwa kuchukua Community shield kwa kumpiga mwenye pre season bora zaidi
Tulia wewe, leo anatambulishwaLile deal la aziz ki lilikuwa ni la kuombea kura tu ila ngoma ngumu wamebaki kupost funguo.
Mkuu sijui mnamuelewa mtoa mada! Huyo anazungumzia klabu bingwa.Hivi ninyi mashabiki mna ubongo kweli au emeexpire?Timu inapaswa kujiandaa na mashindano ya Kimataifa.Tulikuwa na kambi mbovu na tukaliza ligi unbeaten,tena tukianza kwa kuchukua Community shield kwa kumpiga mwenye pre season bora zaidi
Kwa hiki kikosi tulicho nacho bila hata ya New signings kucheza,mashindano ya klabu bingwa Africa tunaingia hatua ya makundi na bila hata Pre-season nzuriMkuu sijui mnamuelewa mtoa mada! Huyo anazungumzia klabu bingwa.Hivi ninyi mashabiki mna ubongo kweli au emeexpire?Timu inapaswa kujiandaa na mashindano ya Kimataifa.
Kwa kikosi hiki tulicho nacho kwasasa bila hata kuwatumia new signings na hata bila pre season nzuri tunafika hatua ya makundi klabu bingwa AfricaYaani mpaka leo akili zenu za ki local kwa hyo kumfunga simba na kuchukua league ndo ukubwa wa team mkifika kimataifa mechi mbili mnarudi kigamboni kuuza Madrid kumbuka al ahly ni team kubwa Africa sio kwa kuchukua league ya ndani mkifanya mchezo mtaganda hapo kwenye 0.5 mpka geita gold itakuja kuwapita.
Kila jambo linakwenda kwamipango na sio kuangalia nani kafanya nini, kila timu ina mipango yake na usisahau yanga kamaliza michezo yake trh 2 mwezi huu, wale makolo walikuwa washafungashiwa virago siku nyingi washaenda kupumzika kwaiyo kuwahi kwao kuondoka ni sawa tu kwa maana walitangulia kupumzikaRejea Topic.viongozi wa Yanga nawaomba mfanye maandalizi ya timu mapema siyo mnaleta ligi ya digital design kwani kombe linatolewa kwenye design hiyo .Watani wetu ndo wamepaa Leo .mkileta mzaha mafanikio tutaona tu kwa jirani ambaye yuko serious.Ss tutachukua kombe la digital design
Uko timamuuu wee???Kwa hiki kikosi tulicho nacho bila hata ya New signings kucheza,mashindano ya klabu bingwa Africa tunaingia hatua ya makundi na bila hata Pre-season nzuri
Bado tu hujaolewa ww chaunabe?Uko timamuuu wee???
KOLO hebu tupe updates kuhusu Aziz KiBado wanapambania Aziz Ki anawaringia utadhani ndo mchezaji pekee Duniani.
Aziz Ki mpaka sasa keshasusa mara 36 na bado viongozi wa Uto wanammbembeleza eti!
We KOLO tuliaaa...usithubutu kuingilia issue za MABINGWA.Hapo bado hajakutana na Morrison akamfundisha usela mavi, aloooohh utopolo kazi wanayo
KOLO nyamaza...!Lile deal la aziz ki lilikuwa ni la kuombea kura tu ila ngoma ngumu wamebaki kupost funguo.