Nawakumbusha Yanga sio kama Simba

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Kuna watu wanacheka saana Yanga Na kusema safari kwisha. Nataka tu niwaambie Yanga sio kama Simba.

Mimi Nina 100% Yanga anakwenda kupindua matokeo ugenini

Kuna uwezekano mkubwa mechi ya round ya pili Algeria Yanga Na USM Alger kwenda mpaka kwenye mapenalti.

Macho Yangu tu naomba Mungu awape uzima wote tutakutana hapa kwenye comment.
 
Hao waarabu wakiwa kwao nihatari mara 2 nahuwa nakasi sana,leo walikuwa wanapotezapoteza mda tu uwanjani,ngoja muende algeria ndio mtajua hamjui
Hata kwa Waraabu wa Tunisia mlisema hivyo hivyo.
 

Eti mapenati!..
 
Dua la kuku.......
 
Una habari kuwa leo kuna wachezaji wao watatu wa kikosi cha kwanza hawakuanza???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mjiandae kwenda kufariki tu.
 
Kwa msimu huu yanga imecheza MICHEZO miwili Mikubwa.

Simba na........ 2-0
Usm Algers... 2-1

Sasa nimeanza KUAMINI kuwa Simba ni timu kubwa zaidi Tanzania.
ALHALY.
Raja.
Widad.
KAIZERCHEEF.
Orando pirates.
Berkane nk.

Hawa ni MABINGWA WAKUBWA.. Simba imecheza nao

YANGA inacheza na Malumo, zalan, bamako nkhizi ni timu ndogo mno
 
Zile bilioni 1.8 ambazo mmewaahidi wachezaji wenu wote huko algeria imetengwa kwa officials wote wa mechi lazima mchakazwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…