[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yanga ndo kwisha habari hiyo. Yanga kasawazisha tu kuna mwenzio kakimbilia kaunta fasta fasta kuwachukulia wana mizinga ya Kvant, kurudi nayo ameikumbatia mitatu anageuka akae anasikia "kula chuma hicho" [emoji38]
Kuna mtu kaniambia wa 4 eti, afu nkambishia.Una habari kuwa leo kuna wachezaji wao watatu wa kikosi cha kwanza hawakuanza???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mjiandae kwenda kufariki tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo Simba ya Aljeria itakuwa inakutazama tu
machizi pekee ndo wanaoshangilia yanga kufungwa lkn sisi tunaoijua yanga tumenyamaza tunawaangalia...BORA KUCHAGUA ANDAZIKuna watu wanacheka saana Yanga Na kusema safari kwisha. Nataka tu niwaambie Yanga sio kama Simba.
Mimi Nina 100% Yanga anakwenda kupindua matokeo ugenini
Kuna uwezekano mkubwa mechi ya round ya pili Algeria Yanga Na USM Alger kwenda mpaka kwenye mapenalti.
Macho Yangu tu naomba Mungu awape uzima wote tutakutana hapa kwenye comment.
Sa sjui wangeanza ingekuaje???Kuna mtu kaniambia wa 4 eti, afu nkambishia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu atakua anakula Bangi yake chooo cha shimo, hata kama ni ushabiki huwezi kutoa ahadi kama hizoUliahidi kua yanga asipo chukua kikombe utageuza mzazi wako kua mkeo!!!!, Ulikua umevuta bangi ya njombe sio?
Anyway nitakukumbusha
Yanga kupindua meza ni ngumu rabda aibinueKuna watu wanacheka saana Yanga Na kusema safari kwisha. Nataka tu niwaambie Yanga sio kama Simba.
Mimi Nina 100% Yanga anakwenda kupindua matokeo ugenini
Kuna uwezekano mkubwa mechi ya round ya pili Algeria Yanga Na USM Alger kwenda mpaka kwenye mapenalti.
Macho Yangu tu naomba Mungu awape uzima wote tutakutana hapa kwenye comment.
Yanga sio kama Simba, sijaona mtu anaeita Yanga kuwa Simba!!Kuna watu wanacheka saana Yanga Na kusema safari kwisha. Nataka tu niwaambie Yanga sio kama Simba.
Mimi Nina 100% Yanga anakwenda kupindua matokeo ugenini
Kuna uwezekano mkubwa mechi ya round ya pili Algeria Yanga Na USM Alger kwenda mpaka kwenye mapenalti.
Macho Yangu tu naomba Mungu awape uzima wote tutakutana hapa kwenye comment.
Tanzania yetu..Kila la kheri kwa Tanzania...
Nimeona press kocha kasema wa 3. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sa sjui wangeanza ingekuaje???
Ili kupata vichekesho hivi bonyeza *120*andazi# okayKuna watu wanacheka saana Yanga Na kusema safari kwisha. Nataka tu niwaambie Yanga sio kama Simba.
Mimi Nina 100% Yanga anakwenda kupindua matokeo ugenini
Kuna uwezekano mkubwa mechi ya round ya pili Algeria Yanga Na USM Alger kwenda mpaka kwenye mapenalti.
Macho Yangu tu naomba Mungu awape uzima wote tutakutana hapa kwenye comment.
Kuna watu wanacheka saana Yanga Na kusema safari kwisha. Nataka tu niwaambie Yanga sio kama Simba.
Mimi Nina 100% Yanga anakwenda kupindua matokeo ugenini
Kuna uwezekano mkubwa mechi ya round ya pili Algeria Yanga Na USM Alger kwenda mpaka kwenye mapenalti.
Macho Yangu tu naomba Mungu awape uzima wote tutakutana hapa kwenye comment.
Kutoka kumpiga Mwarabu 3-1 kwa Mkapa hadi kuona penati kule Uarabuni. Mnajipa matumaini tu kama mgonjwa VVU.Binafsi naona penati zikihusika katika hio mechi.
Yes ni 3,ni silaha zilizofichwa kwa ajili ya kummaliza utopolo huko algeria.Nimeona press kocha kasema wa 3. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi wanayooo.Yes ni 3,ni silaha zilizofichwa kwa ajili ya kummaliza utopolo huko algeria.