Nawakumbusha Yanga sio kama Simba

Nawakumbusha Yanga sio kama Simba

Yanga ndo kwisha habari hiyo. Yanga kasawazisha tu kuna mwenzio kakimbilia kaunta fasta fasta kuwachukulia wana mizinga ya Kvant, kurudi nayo ameikumbatia mitatu anageuka akae anasikia "kula chuma hicho" [emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Una habari kuwa leo kuna wachezaji wao watatu wa kikosi cha kwanza hawakuanza???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mjiandae kwenda kufariki tu.
Kuna mtu kaniambia wa 4 eti, afu nkambishia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uliahidi kua yanga asipo chukua kikombe utageuza mzazi wako kua mkeo!!!!, Ulikua umevuta bangi ya njombe sio?
Anyway nitakukumbusha
 
Kuna watu wanacheka saana Yanga Na kusema safari kwisha. Nataka tu niwaambie Yanga sio kama Simba.

Mimi Nina 100% Yanga anakwenda kupindua matokeo ugenini

Kuna uwezekano mkubwa mechi ya round ya pili Algeria Yanga Na USM Alger kwenda mpaka kwenye mapenalti.

Macho Yangu tu naomba Mungu awape uzima wote tutakutana hapa kwenye comment.
machizi pekee ndo wanaoshangilia yanga kufungwa lkn sisi tunaoijua yanga tumenyamaza tunawaangalia...BORA KUCHAGUA ANDAZI
 
Hakuna chochote Yanga shughuli yake imeishia hapa na wanaenda pokea kipigo cha mbwa koko Algeria, kiufupi fainali imepoteza mvuto timu bora (USM Alger) imekutana na timu dhaifu ( Yanga) yaani bora hata Asec Mimosas wangeleta ushindani kwenye hii final sio Yanga
 
Uliahidi kua yanga asipo chukua kikombe utageuza mzazi wako kua mkeo!!!!, Ulikua umevuta bangi ya njombe sio?
Anyway nitakukumbusha
Huyu atakua anakula Bangi yake chooo cha shimo, hata kama ni ushabiki huwezi kutoa ahadi kama hizo
 
Kuna watu wanacheka saana Yanga Na kusema safari kwisha. Nataka tu niwaambie Yanga sio kama Simba.

Mimi Nina 100% Yanga anakwenda kupindua matokeo ugenini

Kuna uwezekano mkubwa mechi ya round ya pili Algeria Yanga Na USM Alger kwenda mpaka kwenye mapenalti.

Macho Yangu tu naomba Mungu awape uzima wote tutakutana hapa kwenye comment.
Yanga kupindua meza ni ngumu rabda aibinue
 
Kuna watu wanacheka saana Yanga Na kusema safari kwisha. Nataka tu niwaambie Yanga sio kama Simba.

Mimi Nina 100% Yanga anakwenda kupindua matokeo ugenini

Kuna uwezekano mkubwa mechi ya round ya pili Algeria Yanga Na USM Alger kwenda mpaka kwenye mapenalti.

Macho Yangu tu naomba Mungu awape uzima wote tutakutana hapa kwenye comment.
Yanga sio kama Simba, sijaona mtu anaeita Yanga kuwa Simba!!
 
Kuna watu wanacheka saana Yanga Na kusema safari kwisha. Nataka tu niwaambie Yanga sio kama Simba.

Mimi Nina 100% Yanga anakwenda kupindua matokeo ugenini

Kuna uwezekano mkubwa mechi ya round ya pili Algeria Yanga Na USM Alger kwenda mpaka kwenye mapenalti.

Macho Yangu tu naomba Mungu awape uzima wote tutakutana hapa kwenye comment.
Ili kupata vichekesho hivi bonyeza *120*andazi# okay
 
Kuna watu wanacheka saana Yanga Na kusema safari kwisha. Nataka tu niwaambie Yanga sio kama Simba.

Mimi Nina 100% Yanga anakwenda kupindua matokeo ugenini

Kuna uwezekano mkubwa mechi ya round ya pili Algeria Yanga Na USM Alger kwenda mpaka kwenye mapenalti.

Macho Yangu tu naomba Mungu awape uzima wote tutakutana hapa kwenye comment.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Za hivi punde zinasema , CAF wamewaonea huruma uto kwamba mnaweza kuliingiza taifa katika aibu ya karne huko Algeria.Hivyo wamewaruhusu Uto kuchezesha wachezaji 22 kwa mpigo ili kupunguza idadi ya magoli.Kazi kwenu uto.
 
Back
Top Bottom