Nawaomba CAF na TFF waandae kabisa 'Mipira' ya Kumkabidhi Fiston Kalala Mayele leo kwa Mkapa

Nawaomba CAF na TFF waandae kabisa 'Mipira' ya Kumkabidhi Fiston Kalala Mayele leo kwa Mkapa

Upo Uwezekano leo Predator ( hata Henock Inonga ) anamjua Fiston GENTAMYCINE Kalala Mayele leo akafunga kati ya Goli 3 au 6 na wakizubaa hata 9 peke yake dhidi ya Zalan FC Jioni katika Mechi yao Marudioano.
Mimi ni nani hata niache kumuunga mkono the most talented and gifted,one and only GENTAMYCINE
Labda OKW BOBAN SUNZU hatapinga
 
Mchezo wa leo mgumu,Yanga wawe makini sana,hao vijana tayari wamepata muda wa kuzoea hali ya hewa,na watakuwa wameangalia video za michezo mingi ya Yanga.
Usisahau pia na yanga washawajua vilivyo baada ya kuwaona mechi ya kwanza kwakuwa walikuwa awaijui vizuri iyo timu ya zalan, kwaiyo washajuana wote ivyo kila timu itajiimarisha
 
Usisahau pia na yanga washawajua vilivyo baada ya kuwaona mechi ya kwanza kwakuwa walikuwa awaijui vizuri iyo timu ya zalan, kwaiyo washajuana wote ivyo kila timu itajiimarisha
Tusubiri tuone,kipindi cha kwanza hakuna aliyeona mlango wa mwenzake
 
Mchezo wa leo mgumu,Yanga wawe makini sana,hao vijana tayari wamepata muda wa kuzoea hali ya hewa,na watakuwa wameangalia video za michezo mingi ya Yanga.
Hivi leo nani mwenyeji ni yanga au yule mgeni mwenyeji aisee. Leo yanga wanacheza nyumbani ugenini. Tunasubiri waanze kukata tiketi na kugonga visa
 
Upo Uwezekano leo Predator (hata Henock Inonga ) anamjua Fiston GENTAMYCINE Kalala Mayele leo akafunga kati ya Goli 3 au 6 na wakizubaa hata 9 peke yake dhidi ya Zalan FC Jioni katika Mechi yao Marudioano.
Mwiko nyuma
 
Genta siku hizi unaujua mpira kiasi kwamba kampuni za betting zinaweza kukupa ulaji uwape ushauri wa kukadiria betting odds.
Unapita mulemule...
Hauweki mahaba ya timu mbele, unafaa kuwa muandishi wa habari za michezo kwa sasa.
 
Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer GENTAMYCINE.
 
Back
Top Bottom