Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
Acha nimuombe mkeka wa Simba vs NB BulletsGenta siku hizi unaujua mpira kiasi kwamba kampuni za betting zinaweza kukupa ulaji uwape ushauri wa kukadiria betting odds.
Unapita mulemule...
Hauweki mahaba ya timu mbele, unafaa kuwa muandishi wa habari za michezo kwa sasa.