GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Siyo kwa Kumzuia Fiston GENTAMYCINE Kalala Mayele kushindwa Kutetema tena leo kama Kawaida yake.Mchezo wa leo mgumu,Yanga wawe makini sana,hao vijana tayari wamepata muda wa kuzoea hali ya hewa,na watakuwa wameangalia video za michezo mingi ya Yanga.
Mimi ni nani hata niache kumuunga mkono the most talented and gifted,one and only GENTAMYCINEUpo Uwezekano leo Predator ( hata Henock Inonga ) anamjua Fiston GENTAMYCINE Kalala Mayele leo akafunga kati ya Goli 3 au 6 na wakizubaa hata 9 peke yake dhidi ya Zalan FC Jioni katika Mechi yao Marudioano.
Hakuna team ya kufunga goal5 pale kwanza uto mpaka sasa washauchawia uwanjaMchezo wa leo mgumu,Yanga wawe makini sana,hao vijana tayari wamepata muda wa kuzoea hali ya hewa,na watakuwa wameangalia video za michezo mingi ya Yanga.
Usisahau pia na yanga washawajua vilivyo baada ya kuwaona mechi ya kwanza kwakuwa walikuwa awaijui vizuri iyo timu ya zalan, kwaiyo washajuana wote ivyo kila timu itajiimarishaMchezo wa leo mgumu,Yanga wawe makini sana,hao vijana tayari wamepata muda wa kuzoea hali ya hewa,na watakuwa wameangalia video za michezo mingi ya Yanga.
Tusubiri tuone,kipindi cha kwanza hakuna aliyeona mlango wa mwenzakeUsisahau pia na yanga washawajua vilivyo baada ya kuwaona mechi ya kwanza kwakuwa walikuwa awaijui vizuri iyo timu ya zalan, kwaiyo washajuana wote ivyo kila timu itajiimarisha
Hivi leo nani mwenyeji ni yanga au yule mgeni mwenyeji aisee. Leo yanga wanacheza nyumbani ugenini. Tunasubiri waanze kukata tiketi na kugonga visaMchezo wa leo mgumu,Yanga wawe makini sana,hao vijana tayari wamepata muda wa kuzoea hali ya hewa,na watakuwa wameangalia video za michezo mingi ya Yanga.
Mwiko nyumaUpo Uwezekano leo Predator (hata Henock Inonga ) anamjua Fiston GENTAMYCINE Kalala Mayele leo akafunga kati ya Goli 3 au 6 na wakizubaa hata 9 peke yake dhidi ya Zalan FC Jioni katika Mechi yao Marudioano.
Well talentedGENTAMYCINE hujawahi kosea
Siitwi GENTAMYCIME aliyeiiga ID yangu Makusudi na Kimkakati Ili Kufunika Umaarufu na Ushawishi wangu mkubwa na wa Kutukuka hapa JamiiForums bali naitwa GENTAMYCINE sawa?Mimi ni nani hata niache kumuunga mkono the most talented and gifted,one and only GENTAMYCIME
Labda OKW BOBAN SUNZU hatapinga
Ulitabiri kisawasawa ameuchukua mpira kwa bao 3 leo tenaMchezo wa leo mgumu,Yanga wawe makini sana,hao vijana tayari wamepata muda wa kuzoea hali ya hewa,na watakuwa wameangalia video za michezo mingi ya Yanga.
Sawa mkuu GENTAMYCINESiitwi GENTAMYCIME aliyeiiga ID yangu Makusudi na Kimkakati Ili Kufunika Umaarufu na Ushawishi wangu mkubwa na wa Kutukuka hapa JamiiForums bali naitwa GENTAMYCINE sawa?
Karibu.Sawa mkuu GENTAMYCINE
Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer GENTAMYCINE.Genta siku hizi unaujua mpira kiasi kwamba kampuni za betting zinaweza kukupa ulaji uwape ushauri wa kukadiria betting odds.
Unapita mulemule...
Hauweki mahaba ya timu mbele, unafaa kuwa muandishi wa habari za michezo kwa sasa.
Wacha weee, Sasa unajisikiaje?Hakuna team ya kufunga goal5 pale kwanza uto mpaka sasa washauchawia uwanja
Nina laki hapa nataka nibetie mechi ya Simba na NB Bullets naomba utabiri wako mkuuPurely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer GENTAMYCINE.