nawaomba mnishauri

nawaomba mnishauri

KALYOVATIPI

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
1,414
Reaction score
199
jamani mimi nimeoa mwaka 2oo9 mke wangu ana miaka 22 lakini tangu mwaka jana mwanzon akaanza kulalama miguu inamwaka moto mara anakosa usingizi mara anahisi anakosa amani mara mwili wa baridi sasa ananiambia anahisi kichwani kama giza muda mwingine haf anajisikia vibaya mwili muda mwingine wa moto mara yan dah nawaomba mnisaidie mnishauri
 
Mkuu, ushauri wa kwanza ni wewe kumpeleka hospital.
 
hospital nimeenda sana h.i.v nimepima hamna labda nishauriwe vipimo gani?
 
Pole mkuu najua wakati ulionao ni mgumu sana,yabidi urudi hospital maana wao watamuona mgonjwa na kuona aina ya kipimo.
 
Kumbe lusekelo nimfanya biashara! Ila wachungaji bado wako wengi usikate tamaa kama hosptal imeshindikana basi kuna watu wanamchezea dawa ni maombi
 
sijui upo wapi ilannendeni akaombewe haraka, kuna kitu kinamuumiza, na aawe/muwe na imani atapona, bila imani sahau.

Kama upo Dar nenda kanisa la St. Albans pale karibu na posta mpya, anasalia watu sana. nadhani ukiulizia utapewa jina na kumuona au kuattend service za maombi.

Poleni, ila mwache ajalibishe kulala mwenyewe kitandani, ila hata mkilala wote mwambie aanze kuamini biblia itamsaidia alale nayo na kutembea nayo mkobani,

Soma Zaburi ya 91
 
jamani mimi nimeoa mwaka 2oo9 mke wangu ana miaka 22 lakini tangu mwaka jana mwanzon akaanza kulalama miguu inamwaka moto mara anakosa usingizi mara anahisi anakosa amani mara mwili wa baridi sasa ananiambia anahisi kichwani kama giza muda mwingine haf anajisikia vibaya mwili muda mwingine wa moto mara yan dah nawaomba mnisaidie mnishauri
@KALYOVATIPI POle sana kwa hayo matatizo yaliyomkuta mke wako (shemeji yetu) mimi nitaweza kukusaidia ila kwa sharti moja au mawili kwanza kabisa nenda Hospitali Mgonjwa akapimwe vipimo

vya Damu na mkojo Je kuna maradhi yoyote mwilini mwake au ana upungufu wa Vitamini mwilini mwake? ikiwa umesha muangalia kuwa hana kitu chochote kile kilichopunguwa rudi hapa mimi nitaweza kukusaidia, huenda Shemeji yetu (Mke

Wako ) amekumbwa na Pepo Wachafu kwa dalili ulizosema hizo kwa hiyo ninakuomba rudi tena Hospitalini kamalize vipimo vyote kisha utupe Feedback Atapona huyo inshallah Pepo mchafu nitamuondowa inshallah kwa maelezo zaidi wasiliana na mimi kwa njia ya Email yangu hii (fewgoodman@hotmail.com)
 
aksante ila kama kuna njia mbadala kwani hosp tayari na vizuri mimi ni memba wa medicine vipimo vya awali tayari labda kama kuna mtu anajua halafu jana niligoogle nikakuta kuna mganga ameandika maelezo kama yale ambayo mke wangu yanamsumbua wakuu kunamengi hata tendo la ndoa limekuwa la kulazimisha yani ananiambia ajisikii kabisa
 
@KALYOVATIPI dawa za Mbadala zipo ila ninachotaka ukapime kuhakikisha kuwa huko hospitali maradhi hawayaoni ndio ninaweza kukupa dawaMbadala kwani wewe upo wapi Dares-salaam? au mji gani?
 
nipo dar kaka vipimo kama gani unashauri mzizimkavu
 
Ninakuashauri kuwa pamoja na kwenda Hospitali , wewe na mkeho mnahitaji kufunguliwa (deliverance) kwa maombi na kuna sehemu nyingi za kwenda na watumishi wa Mungu watakusaidia,unaweza kwenda St.Paul Ukonga-Ukonga onana na mchungaji wa pale au hata St. Alban kuna Shemasi huwa anaombea pia simkumbuki jina lake ila naweza kulipata pia ukilihitaji.

Pia jitahidini sana nyie wawili kuutafuta uso wa Mungu, kwa kuomba na Kusoma neno la Mungu. Svitu oma Zaburi 23,51 na 91, Luka 10:19 ,Efeso Yote inavitu vizuri sana vya kujifunza na kutembea navyo yaani iwe ndio dira yako. Soma pia
2 korintho 10:4-5.

tunapaswa kulijua neno la Mungu na liwe katika mioyo yetu siku zote kwani tunaangamia kwa kukosa maarifa (Hoesa 4:6).

Ubarikiwe sana na Mungu akutie nguvu
 
päiva;3937851 said:

Inshaalah tupo pamoja mkubwa
 
Back
Top Bottom