KALYOVATIPI
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,414
- 199
jamani mimi nimeoa mwaka 2oo9 mke wangu ana miaka 22 lakini tangu mwaka jana mwanzon akaanza kulalama miguu inamwaka moto mara anakosa usingizi mara anahisi anakosa amani mara mwili wa baridi sasa ananiambia anahisi kichwani kama giza muda mwingine haf anajisikia vibaya mwili muda mwingine wa moto mara yan dah nawaomba mnisaidie mnishauri