KALYOVATIPI
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,414
- 199
lusekelo alitaka laki moja tukakimbianenda kwenye maombi
lusekelo alitaka laki moja tukakimbia
lusekelo alitaka laki moja tukakimbia
@KALYOVATIPI POle sana kwa hayo matatizo yaliyomkuta mke wako (shemeji yetu) mimi nitaweza kukusaidia ila kwa sharti moja au mawili kwanza kabisa nenda Hospitali Mgonjwa akapimwe vipimojamani mimi nimeoa mwaka 2oo9 mke wangu ana miaka 22 lakini tangu mwaka jana mwanzon akaanza kulalama miguu inamwaka moto mara anakosa usingizi mara anahisi anakosa amani mara mwili wa baridi sasa ananiambia anahisi kichwani kama giza muda mwingine haf anajisikia vibaya mwili muda mwingine wa moto mara yan dah nawaomba mnisaidie mnishauri
aksante ila kama kuna njia mbadala kwani hosp tayari na vizuri mimi ni memba wa medicine vipimo vya awali tayari labda kama kuna mtu anajua halafu jana niligoogle nikakuta kuna mganga ameandika maelezo kama yale ambayo mke wangu yanamsumbua wakuu kunamengi hata tendo la ndoa limekuwa la kulazimisha yani ananiambia ajisikii kabisa@KALYOVATIPI POle sana kwa hayo matatizo yaliyomkuta mke wako (shemeji yetu) mimi nitaweza kukusaidia ila kwa sharti moja au mawili kwanza kabisa nenda Hospitali Mgonjwa akapimwe vipimo
vya Damu na mkojo Je kuna maradhi yoyote mwilini mwake au ana upungufu wa Vitamini mwilini mwake? ikiwa umesha muangalia kuwa hana kitu chochote kile kilichopunguwa rudi hapa mimi nitaweza kukusaidia, huenda Shemeji yetu (Mke
Wako ) amekumbwa na Pepo Wachafu kwa dalili ulizosema hizo kwa hiyo ninakuomba rudi tena Hospitalini kamalize vipimo vyote kisha utupe Feedback Atapona huyo inshallah Pepo mchafu nitamuondowa inshallah kwa maelezo zaidi wasiliana na mimi kwa njia ya Email yangu hii (fewgoodman@hotmail.com)
@KALYOVATIPI dawa za Mbadala zipo ila ninachotaka ukapime kuhakikisha kuwa huko hospitali maradhi hawayaoni ndio ninaweza kukupa dawaMbadala kwani wewe upo wapi Dares-salaam? au mji gani?aksante ila kama kuna njia mbadala kwani hosp tayari na vizuri mimi ni memba wa medicine vipimo vya awali tayari labda kama kuna mtu anajua halafu jana niligoogle nikakuta kuna mganga ameandika maelezo kama yale ambayo mke wangu yanamsumbua wakuu kunamengi hata tendo la ndoa limekuwa la kulazimisha yani ananiambia ajisikii kabisa
nipo dar kaka vipimo kama gani unashauri mzizimkavu@KALYOVATIPI dawa za Mbadala zipo ila ninachotaka ukapime kuhakikisha kuwa huko hospitali maradhi hawayaoni ndio ninaweza kukupa dawaMbadala kwani wewe upo wapi Dares-salaam? au mji gani?
päiva;3937851 said:Ninakuashauri kuwa pamoja na kwenda Hospitali , wewe na mkeho mnahitaji kufunguliwa (deliverance) kwa maombi na kuna sehemu nyingi za kwenda na watumishi wa Mungu watakusaidia,unaweza kwenda St.Paul Ukonga-Ukonga onana na mchungaji wa pale au hata St. Alban kuna Shemasi huwa anaombea pia simkumbuki jina lake ila naweza kulipata pia ukilihitaji.
Pia jitahidini sana nyie wawili kuutafuta uso wa Mungu, kwa kuomba na Kusoma neno la Mungu. Svitu oma Zaburi 23,51 na 91, Luka 10:19 ,Efeso Yote inavitu vizuri sana vya kujifunza na kutembea navyo yaani iwe ndio dira yako. Soma pia
2 korintho 10:4-5.
tunapaswa kulijua neno la Mungu na liwe katika mioyo yetu siku zote kwani tunaangamia kwa kukosa maarifa (Hoesa 4:6).
Ubarikiwe sana na Mungu akutie nguvu
mzizimkavu na paîva nawakubali sanainshaalah tupo pamoja mkubwa
kapate ushauri wa daktari hospitalini mkuu....