Niende moja kwa moja kwenye mada nisikuchoshe tusichoshane. Mi nilikua nikiona mtu analialia kisa mapenzi nilikua namuona bwege mtunzeni, nilikua nawaza mtu anawezaje kulia au mtu anawezaje kukosa kontro na kupelekea kufanya mambo ya ajabu kisa mapenzi? Nilikua nasema sitoweza kuja kufanya huo ushubwadu ata siku moja.
Bwana weee si yamenikuta, acha niseme tu nyie mapenzi yanauma. Maumivu yake hayaelezeki mtu unajisikia vibaya vibaya tu kila kitu unakiona kibaya kila mtu unamuona kama mchawi tu hasa wale wanaojifanya wanatoa ushauri 😂 unatamani uwafurumushe na viboko mana unaona kama wanakuchora tu.
Namshukuru Muumba nimerudi kwenye hali yangu ya kawaida ila nimekoma sipendi tenaa kiherehere chote kwisha nyie kweli mapenzi kum*ny*ko nimekoma mimi 🙌🙌 asaivi nikona mtu ananletea dalili za ooo nakupenda sijui nininini natoka nduki ata nyuma siangalii NIMEKOMA 🙌