Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Ni ahadi ambayo nlitoa kumpa mwanasimba mmoja ujauzito bure. Napenda kutimiza ahadi yangu please. Ndo uungwana.Yaani wewe tukupe tena mdada umpe mimba, jifikirie tena vizuri, Ila hongera kwa kua muungwana,, tunaupokea ombi lako
Afadhali mwenzio mpaka akizeeka. Wewe umeanza ukiwa mdogo kweli kweliUkizeeka utakuwa mchawi
ina maana unataka utamu wa bure bila malipooo? Tafuta utopolo mwenzako ukamjaze hiyo kituNi ahadi ambayo nlitoa kumpa mwanasimba mmoja ujauzito bure. Napenda kutimiza ahadi yangu please. Ndo uungwana.
Hiyo hata ukiomba huku umeminya makende haiwezi kutokea Simba kukutana na mamelod robo fainali coz wote ni group winnersTuombe tu wapangwe na Mamelod hatua ya robo fainali huenda tukafarijika! Mi timu ya kiarabu na ile ya Congo imekuwa utopolo siku hizi! Hapa kwa Ben Mkapa mikia wamefukia nini?
Pole kwa maumivu maombi yako yamekuwa baraka kwetuAfadhali mwenzio mpaka akizeeka. Wewe umeanza ukiwa mdogo kweli kweli
Hahaaaaaaa dahMara nyingi nmekuwa nikijihusisha na kuiombea mabaya club ya Simba. lakini imekuwa kinyume sasa. Naacha hizo habari kwa matches za Kimataifa.
Nmegundua ntapata ugonjwa wa moyo bure na kufa kwa kihoro. Tubaki kutaniana matches za ndani. Za nje nakubali Simba ni Team kubwa kwa Afrika Zama Hizi.
Mniwie radhi Watanzania wenzangu. Na ile ahadi ya kuwa kama simba ingeshinda leo ngempa mtu ujauzito bure. Nipo tayari kuitimiza. Mwanadada jitokeze tuma picha zako nikuone na uwe tayari kupimwa afya na akili.
Yanga tuna mengi ya kujifunza toka kwenu Simba. Inatosha mimi kusema Hongereni sana Bhanyambala.
Aloooooo yaaani naanza kuamini kwa mkapa hatoki mtu kweli sio mchezoTuombe tu wapangwe na Mamelod hatua ya robo fainali huenda tukafarijika! Mi timu ya kiarabu na ile ya Congo imekuwa utopolo siku hizi! Hapa kwa Ben Mkapa mikia wamefukia nini?
Wewe ndiye unastahili kutiwa mimba tena uzae mapacha wanne sawa na magoli tuliyowafunga wale wacheza ndombolo ya solo.Mara nyingi nmekuwa nikijihusisha na kuiombea mabaya club ya Simba. lakini imekuwa kinyume sasa. Naacha hizo habari kwa matches za Kimataifa.