Nawaomba Radhi wana Simba wote. Nimekosa mimi, nimekosa sana

Umesamehewa.
Huo sasa ndo uanamichezo. Safi sana.
Huwa nawaambia mashabiki wa Yanga ambao huwa naongea nao kwamba Yanga kama timu ina mengi sana ya kujifunza kutoka kwa simba....! Ila huwa wanakua na ule ubishi wa sikio la kufa.
Muache ujinga, muwabane viongozi wenu wafanye vitu vya maana vya kusaidia timu, sio wanajificha kwenye visingizio vya kuonewa na marefa, mara Mo ananunua mechi, mara Mo ananunua marefa.
Mtu ambae anakataa kuwa Simba si kati ya timu bora kabisa Afrika, huyo ana matatizo kichwani.
 
Bado unatatizo, Sasa mechi za ndani nazo utabet kusambaza mbegu? Hao watoto watakaozaliwa watashabikia timu ya baba yao au ya waliokufanya ufanye donation ya mbegu?
 
Kawaida Tu.
Maaana nabii hakubaliki kwao.
Ni kweli Simba wanacheza mpira mzuri na unaonekana.
Mimi Simba wakifungwa uwa nashangaa Sana.wanafungwa vipi wakati Wana kikosi kizuri
Mungu akipenda simba bingwa MPYA Africa.
NA INAWEZEKANA.
 
Tuombe tu wapangwe na Mamelod hatua ya robo fainali huenda tukafarijika! Mi timu ya kiarabu na ile ya Congo imekuwa utopolo siku hizi! Hapa kwa Ben Mkapa mikia wamefukia nini?
Ni mamelodi vs alhy aly simba vs wa algeria
 
Nanga weee

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Wakubwa awaombwi msamaha hivihivi tu Simba ni timu kubwa na yawakubwa.
Wakubwa ukiwaomba msamaha lazima uchinje mnyama watafune nyama ndo wakusamehe.

Keshokutwa asubuhi mapema nikukute Vingunguti ukiwa na mabeberu watatu.
 
Sendo na All _ Rounder na nyie njoni muombe msamaha hapa!! . Na yule mchambuzi uchwala wa soka Ni aibu kwake!
 
Hujaeleweka.Kwamba ulikuwepo na mimba ila kwa sasa unataka umpe mtu, hiyo mimba alikupa nani? Hebu fafanua.
 
Utakuwa umeshauriwA na daktari wako kufanya hivyo ili kuokoa maisha yako
 
Nakushauri ubadilishe tu hilo Jina lako la 'Chizi Maarifa', kwa kuwa umeanza kujielewa na kuwa na adabu.

Dalili zinaonyesha kuna wakati mashabiki wa Yanga wote wataanza kuishangilia Simba, hadi sasa tayari wameshaacha kuwapokea wageni, na wanaanza kukubali mziki wake wa uwanjani.
 
Heri huyu amejielewa.Heri ujinga wa kuuza kuliko ubaradhuli wa kununua. Mfuate aliyefanikiwa huko juu ya ngazi sio uombe ngazi ivunjike mmbaki chini wote.Chuki hudhuru moyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…