Nawaomba radhi Watanzania kwa kushiriki kumuweka Madarakani Malinzi

Ni kweli mkuu, umekuwa muungwana. Pale inahitajika injini ya Tenga Athumani Nyamlani. Ni mchapakazi nzuri toka akiwa kiongozi wa ngazi ya wilaya Temeke (TEFA). Aliwezesha chama cha wilaya kuwa chama cha pili kimapato baada ya TFF. Pale aliacha mradi mkubwa wa ujenzi wa kiwanja cha mabatini. Pia tusisahau Mbwana Samata alipotokea Mbagala Market iliyoibuliwana TEFA. Huyu bwana atatufikisha mbali badala ya kuchagua watu wanaojaribu au kuendekeza njaa.
 
Hakuna mtu mwenye njaa na mpigaji kama Nyamlani,nenda TEFA katafute mafaili yake kwa wanaomjua.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Huyu Muhaya atoke tu. Kashatuharibia sana soka letu.
#Malinziout#
 
Chagueni Ally mayay tembele MTU aliecheza mpira na anajua kona zote za nyavu basi, huwezi ukamrudisha MTU aliekua ana tafuna hela za mpira kwa kisingizio aendeleze mambo aliyoanzisha, wizi mtupu, yeye malinzo amechoka, akae pembeni wengine waendeleze jahazi,full stop
 
Eti anaejua kona zote za nyavu,umesikia pale TFF ni mahala pakwenda kufanyia majaribio ya uongozi?

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Ukiacha kucheza mpira huyo mayai ana elimu gani tena?

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 


AKUNA ALIEBAKI SALAMA KWA JAMAL MALINZI RAISI ANAEENDA KUSHINDA TENA
 
Najua hufahamu historia ya mpira vizuri umedandia tuu uliposika watu wanamtaja Malinzi na wewe ukajiona usibaki nyuma.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Unajua some times unaweza kuandika kitu ukakichukulia cha kawaida kinoma, kumbe chaweza kuwa na mtazamo mbaya kwa ukiyemwandika.. Utasemaje sijui historia ya soka vizuri wakati hata hatufahamiani, na hujui nini najua kuhusu soka.....

Kuwa mkubwa kiongozi... Kuwa na mitazamo tofauti sio kosa, ila kamwe usitumie maneno ya kejeli kwa mtu mwenye mtazamo tofauti na ww
 
Embu niambie Blatter na Hayatou wamekaa miaka mingapi madarakani then uniambie Malinzi amekaa miaka mingapi madarakani?halafu pia uniambie Ndolanga alikaa miaka mingapi madarakani.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Viongozi wa TFF wote ni sawa na Mkapa na JK...walikuja madarakani kupiga deal na kujitajirisha, ndiyo maana mpira wa kibongo haukuwi daima. Useless.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…