Kalam mpya
Member
- Mar 30, 2017
- 84
- 76
Naombeni ridhaa ya kugombea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamwambiaje mtu anyamazee ww vipi pipi au chokoletiNyamaza, mbona haisaidii!
mabwege haooo wape nenoo moja na rohooyaoo itaponaaaMshaanza kulia kulia kabla kipenga hakijapulizwa,kunya anye kuku akinya bata kaharisha. Mnavyomchafua na kumpiga vita Malinzi na mpaka Uzi wa kumuondoa mmemuanzishia hapa hizo sio kampeni tena chafu kabisa. Na bado.
@TeamMalinzi For Second Term.
Mpwaa hawa hawajielewi na wanaropoka sana ukiwakalia kimya wanaweza kumpaka matope malinzi ,jino kwa jino Mpwaa...Unabishanaa na wacheza rede frank wape neno moja waende
nishawaambiaaa warekodi siku ya jana na muda nilioandika tukutane taifa hivi awaapishwi lih haya tukutane usiku wa jm...
Ni kweliHayo ndio maneno yakuongea sio mna generalized eti Malinzi hafai,kila kitu kina changamoto zake na sisi wadau wa nje tunazozioana hizo changamoto ndio tuanatikiwa tutoe maoni yatu lakini tukisema tukae kimwa kukimtegea Malinzi akosee ili tupate lakusema hatutafika. Mambo kama hayo Malinzi ndio atadili nayo awamu yake ya pili.
Vipi wewe ni mchicha mwiba?Unamwambiaje mtu anyamazee ww vipi pipi au chokoleti
Mpwaaa""DUDE LIMEAMSHWA"""Mpwaa hawa hawajielewi na wanaropoka sana ukiwakalia kimya wanaweza kumpaka matope malinzi ,jino kwa jino Mpwaa...
Mpwa hawa ni kula nao sambamba mpaka msambwanda kama unawezekana tutawala tuu...Mpwaaa""DUDE LIMEAMSHWA"""
Niliwakalia kimya na post zaoo zakifyongoo nw tumeluamsha dude
Umeooonaaaa eehhh ati naomba radhiii kha bila hata haya ua kuzaliwaMpwa hawa ni kula nao sambamba mpaka msambwanda kama unawezekana tutawala tuu...
@MalinziForSecondTerm.
Na uzuri mmoja Malinzi hana muda wakuimba taarabu mdomoni yeye ni kuchapa kazi tuu.akili zaoo zimejaa usimba na uyanga bila kujali maendeleo ya soka nchinii waseme mengine sio kwa jamal..
Ukiona kazi ya jamii inatafutwa kwa vigezo hivyo ujuwe hapo ni wizi mtupu.Nilikuwa mmoja wa wadau wa soka tuliopambana kufa na kupona kuhakikisha kwamba Jamal Malinzi anashinda urais wa TFF , Tulipambana kwa udi na uvumba , Kwa hali na mali hadi tukafanikiwa .
Lakini kwa madudu yaliyotokea kwenye uongozi wake , nimeona nijitokeze mbele yenu ndugu zangu kuwaombeni sana radhi kwa hujuma hii tuliolifanyia soka la Tanzania , mtoto akinyea mkono usiukate , Naahidi sitorudia tena kufanya madudu ya kumbeba mtu yeyote asiye na uwezo kwa vile tu ni Mfanyabiashara mwenzangu .
Wito wangu kwa wadau wa soka wa Tanzania , hakikisheni mnachagua mtu mwenye uwezo wa kuongoza , na mwenye kuzijua hasa changamoto za soka la nchi hii.
Niko tayari kusaidia upande wowote wa kambi ya mgombea yeyote mwenye weledi na mwenye maono ya kusukuma soka la Tanzania mbele zaidi.
Mungu ibariki TFF .
Huyo hajitambui,ukimuuliza tuambie Malinzi kakosea wapi na kipi kafanya wanakwambia hajafanya lolote lile.Umeooonaaaa eehhh ati naomba radhiii kha bila hata haya ua kuzaliwa
Wabongo ndio walivyo lolote watakachokufanyia lazima kuna kitu watataka uwarudishie.Ukiona kazi ya jamii inatafutwa kwa vigezo hivyo ujuwe hapo ni wizi mtupu.
Ameshindwa kuwarudishia "mali" mlizotumia?
Wala hatukuwa na lengo la kupata chochote mkuu , usichokijua ni kwamba kundi letu ni mkusanyiko wa matajiri wanaofanya biashara za nje ya nchi , tulijitolea kusaidia mfanyabiashara mwenzetu tu .Ukiona kazi ya jamii inatafutwa kwa vigezo hivyo ujuwe hapo ni wizi mtupu.
Ameshindwa kuwarudishia "mali" mlizotumia?
Mpira hujui kipaji chako ni kilimo,nenda morogoro katafute shamba la kulima ulime usilazimishe kitu usichokijua,tuachie wenye kujua mpira tuendeleze.Hakuna mpira Tzzz ni ubabaishaji tu.
Futeni michezo tulime kwanza
Mkulima huanza kujiandaa kifikra kwanza kulima, na baadae huandaa msingi wa kuanzia shamba iwe jembe la mkono au machines. Na baadae hupanda kwa kanuni na taratibu za kilimo bora ka ma mbolea na kadharika.
Huezi kuwa mkulima bora kama hulimi kwa kufuata kanuni za kilimo bora.
Halii hii ipo kokote kazin au shambani.
TFF imepoteza nuru ktk kazi zake kwa kuishia kwenye timu za kimataifa kushika mkia na kua Washiriki na sio washindani.
Kama unapeleka timu ktk mechi za kimataifa kushiriki na sio kushindana ni sawa na kulima kwenye maji na kupanda mbegu kwenye maji.
Faida yake ni kuozesha mbegu.
Kwa kipindi kirefu sana Tanzania imekuwa mshiriki lakini si mshindani.
Kwa hali hii hatuwezi fika popote.
NILIWAHI SEMA IKIBIDI TUFUTE MICHEZO TUJIPANGE MIAKA KUMI NA TANO, TUJE NA MWAROBAINI.