Nawaomba radhi Watanzania kwa kushiriki kumuweka Madarakani Malinzi

Mshaanza kulia kulia kabla kipenga hakijapulizwa,kunya anye kuku akinya bata kaharisha. Mnavyomchafua na kumpiga vita Malinzi na mpaka Uzi wa kumuondoa mmemuanzishia hapa hizo sio kampeni tena chafu kabisa. Na bado.
@TeamMalinzi For Second Term.
mabwege haooo wape nenoo moja na rohooyaoo itaponaaa

@Tmjamal.malinzi2trm
 
Unabishanaa na wacheza rede frank wape neno moja waende

nishawaambiaaa warekodi siku ya jana na muda nilioandika tukutane taifa hivi awaapishwi lih haya tukutane usiku wa jm...
Mpwaa hawa hawajielewi na wanaropoka sana ukiwakalia kimya wanaweza kumpaka matope malinzi ,jino kwa jino Mpwaa...
 
Ni kweli

kwa mauza uza aliyoyakuta asingeweza kudili na kila kitu ndioo maana tunampaa nafasii tena akamalize yale mazuri aliyoyaanzishaa
 
akili zaoo zimejaa usimba na uyanga bila kujali maendeleo ya soka nchinii waseme mengine sio kwa jamal..
 
Mpwaaa""DUDE LIMEAMSHWA"""

Niliwakalia kimya na post zaoo zakifyongoo nw tumeluamsha dude
Mpwa hawa ni kula nao sambamba mpaka msambwanda kama unawezekana tutawala tuu...
@MalinziForSecondTerm.
 
akili zaoo zimejaa usimba na uyanga bila kujali maendeleo ya soka nchinii waseme mengine sio kwa jamal..
Na uzuri mmoja Malinzi hana muda wakuimba taarabu mdomoni yeye ni kuchapa kazi tuu.
 
Ukiona kazi ya jamii inatafutwa kwa vigezo hivyo ujuwe hapo ni wizi mtupu.

Ameshindwa kuwarudishia "mali" mlizotumia?
 
Ukiona kazi ya jamii inatafutwa kwa vigezo hivyo ujuwe hapo ni wizi mtupu.

Ameshindwa kuwarudishia "mali" mlizotumia?
Wabongo ndio walivyo lolote watakachokufanyia lazima kuna kitu watataka uwarudishie.
 
Mkulima huanza kujiandaa kifikra kwanza kulima, na baadae huandaa msingi wa kuanzia shamba iwe jembe la mkono au machines. Na baadae hupanda kwa kanuni na taratibu za kilimo bora ka ma mbolea na kadharika.

Huezi kuwa mkulima bora kama hulimi kwa kufuata kanuni za kilimo bora.

Halii hii ipo kokote kazin au shambani.

TFF imepoteza nuru ktk kazi zake kwa kuishia kwenye timu za kimataifa kushika mkia na kua Washiriki na sio washindani.

Kama unapeleka timu ktk mechi za kimataifa kushiriki na sio kushindana ni sawa na kulima kwenye maji na kupanda mbegu kwenye maji.
Faida yake ni kuozesha mbegu.

Kwa kipindi kirefu sana Tanzania imekuwa mshiriki lakini si mshindani.
Kwa hali hii hatuwezi fika popote.


NILIWAHI SEMA IKIBIDI TUFUTE MICHEZO TUJIPANGE MIAKA KUMI NA TANO, TUJE NA MWAROBAINI.
 
Ukiona kazi ya jamii inatafutwa kwa vigezo hivyo ujuwe hapo ni wizi mtupu.

Ameshindwa kuwarudishia "mali" mlizotumia?
Wala hatukuwa na lengo la kupata chochote mkuu , usichokijua ni kwamba kundi letu ni mkusanyiko wa matajiri wanaofanya biashara za nje ya nchi , tulijitolea kusaidia mfanyabiashara mwenzetu tu .
 
Hakuna mpira Tzzz ni ubabaishaji tu.

Futeni michezo tulime kwanza
Mpira hujui kipaji chako ni kilimo,nenda morogoro katafute shamba la kulima ulime usilazimishe kitu usichokijua,tuachie wenye kujua mpira tuendeleze.
 

= kadhalika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…