Nawaomba wakaka mnipe siri ya kupenda "kutubambia" wadada kwenye mziki! Mnapata raha gani?

richaabra

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
1,472
Reaction score
3,511
Hii tabia jamani sijui imetoka wapi, nimekuwa nikijiuliza ni yetu au tumeletewa na wazungu?

Yaani kwenye mziki iwe wa mduara au wa Taharab ni lazima ukute wanaume hawakauki kufwata nyuma nyuma wanawake, haswaa kama sisi wenye misambwanda yetu sijui mnapata raha gani?
1481034995549.jpg

Na kuna wanawake wengine ndio kabisaa nao washazoea michezo hii
Na ndio maana wanaume wanapenda kutusumbua kwenye daladala cuz washakuwa adicted na huo mchezo

Mnapata raha gani?????
 
Mimi nilikua napata raha kipindi hicho cha nyuma,raha yenyewe ilikua ni pale ndendele yangu ikiwa inasuguliwa na makalio malaini.Sasa hivi baada ya kugundua kua wadada wengi wanaweka masponji na baadhi ya vitu vya bandia kuyafanya makalio yanekane makubwa,nimeacha kubambia nikiwa club kwasababu inaniboa sana kubambia makalio feki.
 
Jaribu na wewe "kubambia" uone raha gani utapata....
 
Hii tabia jamani sijui imetoka wapi, nimekuwa nikijiuliza ni yetu au tumeletewa na wazungu?

Yaani kwenye mziki iwe wa mduara au wa Taharab ni lazima ukute wanaume hawakauki kufwata nyuma nyuma wanawake, haswaa kama sisi wenye misambwanda yetu sijui mnapata raha gani?
View attachment 443241

Na kuna wanawake wengine ndio kabisaa nao washazoea michezo hii
Na ndio maana wanaume wanapenda kutusumbua kwenye daladala cuz washakuwa adicted na huo mchezo

Mnapata raha gani?????
Stimu
 
nyie kuinama nakubinua matako huwa mnapata raha gani ?? au kuvua nguo nakuonyesha matako.
 
Back
Top Bottom