richaabra
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 1,472
- 3,511
Hii tabia jamani sijui imetoka wapi, nimekuwa nikijiuliza ni yetu au tumeletewa na wazungu?
Yaani kwenye mziki iwe wa mduara au wa Taharab ni lazima ukute wanaume hawakauki kufwata nyuma nyuma wanawake, haswaa kama sisi wenye misambwanda yetu sijui mnapata raha gani?
Na kuna wanawake wengine ndio kabisaa nao washazoea michezo hii
Na ndio maana wanaume wanapenda kutusumbua kwenye daladala cuz washakuwa adicted na huo mchezo
Mnapata raha gani?????