MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Hii tabia inaharibu sifa na wadhifa kwa binadamu hasa jinsia ya kike.
Embu pata picha hapo Mwanza maeneo ya Capri point, mdada mzuri jamii ya kisukuma, shepu imesimama halafu amewekwa chale eneo la paji la uso yaani katikati ya macho?
Hii inaharibu hdi soko lake.
Kule Bariadi, Itilima na Busega ule weupe wa Wanawake nadhani mnaujua halafu wanawaweka chale kuanzia shingoni, kifuani, mabegani, mgongoni mpaka makalioni.
Hii hali inatukata stimu na kutufanya tuwe wakiwa.
Nawaomba wataalamu wa jadi na Waganga wawekeni chale maeneo yasiyononekana mfano kwenye makwapa na kwenye nyayo za miguu
Ni hayo tu