Nawaombeni Ushauri kuhusu Shule ya Sekondari ya Canossa iliyopo Tegeta Dar.

1952

Senior Member
Joined
Mar 29, 2014
Posts
109
Reaction score
38
Binti yangu amemaliza Elimu ya sekondari na kufaulu kwa Pointi 12 katika masomo yote. Katika kutafuta Shule nzuri ya kuendelea na Elimu yake ya kidato cha tano yeye akanishauri kuwa anataka kwenda Canossa kuwa ni shule nzuri ingawaje mimi sina taarifa kamili kuhusu Shule hii. Amefanya mtihani na tayari amechaguliwa japo na shule zingine kama Maria Goreti pia amechaguliwa. Ninawaombeni wana Jamii forums kunipa ushauri ni wapi nimshauri aende?
 
Angalia rank ya matokeo mwaka huu canossa iko juu sana
 
Mkuu mpeleke cannosa ipo vizuri ,i know the teachers wapo vizuri,hatojutia maishani mwake!!!
 


mkuuu cannossaa.....ni nomaaa shule imeshika nafasi ya 4.......tanzania nzima ya kwanza dar...nzima jamaaa wamepoteza....mbayaa
 
Nafikiri naweza kukusaidia kwa kweli mana naifahamu hii shule na nakaa mtaa wa pili kutoka mahali shule ilipo...Ni shule nzuri sana na inalea watoto katika misingi ya kidini sana...dada yangu alisoma hapo O LEVEL na alifaulu vizuri sana.Tatizo lao ni uzoefu maana walikuwa wanafundisha O LEVEL tu ila wameongeza madarasa na wataanza kufundisha mwaka huu ni shule nzuri kwa kweli walimu wenye uzoefu,mabweni mazuri na ina huduma zote muhimu,,,Nakushauri msikilize mwanao anapopahitaji pia ipo dar ni rahisi ww kufika endapo kutatokea matatizo makubwa kwa mtoto wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…