Nawaombeni wanajf

Nawaombeni wanajf

D Metakelfin

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
3,399
Reaction score
3,666
Jaman kuna voice recorded inasambaa mitandaoni sauti yangu ikimtongoza Nick Minaji please puuzen ni watu tu wanataka kushusha hadhi yangu
[emoji36][emoji36][emoji36]
 
ha ha ha kwahiyo nawew steve kakuiga?
 
Jaman kuna voice recorded inasambaa mitandaoni sauti yangu ikimtongoza Nick Minaji please puuzen ni watu tu wanataka kushusha hadhi yangu
[emoji36][emoji36][emoji36]
hahaaaaaa. si ni ile unayofanya mazoezi ya kutongoza? usihofu, kila mtu anaielewa hiyo sauti kuwa ni ya chizi
 
Dah likizo itaisha lini form five wakariport shule...maana imekuwa kero sasa.
Mama ndalichako fanya shule zifunguliwe mapema mtaani tupumue
 
Back
Top Bottom