Marehemu ni mwanachama hai wa CCM, hivyo wanaccm wanayohaki kuhudhuria msiba wa mwanaccm mwenzao, wenye msiba ni familia ambayo ina mchanganyo wa itikadi za kidini na kisiasa.Habari ya mjini ndiyo hiyo.
Tujiandae kuona msiba wa Mzee Alute ukivamiwa na watesi wake, wa ndugu yake, na ukoo wao mzima.
Tusisahau kwamba hakuna kiongozi wa CCM, Bunge, wala Serikali, aliyewafariji wahanga wa OCT 29.