J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 38,298 Reaction score 72,863 Nov 3, 2026 #1 Habari ya mjini ndiyo hiyo. Tujiandae kuona msiba wa Mzee Alute ukivamiwa na watesi wake, wa ndugu yake, na ukoo wao mzima. Tusisahau kwamba hakuna kiongozi wa CCM, Bunge, wala Serikali, aliyewafariji wahanga wa OCT 29.
Habari ya mjini ndiyo hiyo. Tujiandae kuona msiba wa Mzee Alute ukivamiwa na watesi wake, wa ndugu yake, na ukoo wao mzima. Tusisahau kwamba hakuna kiongozi wa CCM, Bunge, wala Serikali, aliyewafariji wahanga wa OCT 29.
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 24,523 Reaction score 30,084 Nov 3, 2026 #3 JokaKuu said: Habari ya mjini ndiyo hiyo. Tujiandae kuona msiba wa Mzee Alute ukivamiwa na watesi wake, wa ndugu yake, na ukoo wao mzima. Tusisahau kwamba hakuna kiongozi wa CCM, Bunge, wala Serikali, aliyewafariji wahanga wa OCT 29. Click to expand... Marehemu ni mwanachama hai wa CCM, hivyo wanaccm wanayohaki kuhudhuria msiba wa mwanaccm mwenzao, wenye msiba ni familia ambayo ina mchanganyo wa itikadi za kidini na kisiasa.
JokaKuu said: Habari ya mjini ndiyo hiyo. Tujiandae kuona msiba wa Mzee Alute ukivamiwa na watesi wake, wa ndugu yake, na ukoo wao mzima. Tusisahau kwamba hakuna kiongozi wa CCM, Bunge, wala Serikali, aliyewafariji wahanga wa OCT 29. Click to expand... Marehemu ni mwanachama hai wa CCM, hivyo wanaccm wanayohaki kuhudhuria msiba wa mwanaccm mwenzao, wenye msiba ni familia ambayo ina mchanganyo wa itikadi za kidini na kisiasa.
Hercule Poirot JF-Expert Member Joined Mar 14, 2011 Posts 1,786 Reaction score 1,591 Nov 3, 2026 #4 Si ajabu wanasubiri upepo wa hukumu ya ijumaa
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Nov 3, 2026 #5 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw