...Nawaona wajumbe wa Bunge la Katiba wakifungasha virago na kuondoka Dodoma

...Nawaona wajumbe wa Bunge la Katiba wakifungasha virago na kuondoka Dodoma

Nilishasema hakuna katiba inayokwenda kupatikana,na ikipatikana itakua bora katiba na sio katiba bora.
 
Mkuu wapinzani wanataka kura za siri ili wapitishe ajenda ya ushoga kisirisiri kinara wa hii ni Mini Kabaang

Mkuu umeshawahi kujiuliza kwa nini Viongozi wa CCM wanapishana Angani kwenda Nchi za Mashoga kuomba Misaada?.
Umeshawahi kujiuliza kwa nini hawanyimwi?
Akili mukichwa.
 
kura ya wazi ndio habari ya mujini hutaki kufaaaa

Kama ndo habari ya mjini basi ni ule mji wa himaya ya wapumbavu niliyoisoma ktk hadithi za kitoto. Hadi mfalme akaomba afe ili aende mbinguni akale vitumbua kila siku.

Nina maana kwamba faida ni ndogo sana ukilinganisha na njia inayotumiwa.
 
ccm ni mashetani, ningekuwa na mashine, ningewagonga wote wanaoleta magumashi nikianza na Lowasa.
 
Kura siri, mikataba wazi, msimamo ni upi sasa , kweli upinzani Tanzania bado

a twit (from lumumba) at work! kura ina uhusiano gani na mikataba? haya, kachukue buku 7 yako usepe.
 
Mkuu wapinzani wanataka kura za siri ili wapitishe ajenda ya ushoga kisirisiri kinara wa hii ni Mini Kabaang

naona jua la utosi limekuwakia sana hadi akili zako zimekauka- pole sana.
 
asante kwa hoja nzuri. kwenye hoja iliyosimama kama hii, ni nadra kuwaona maCCM wakichangia. ikiwa kura za wazi zitapita, kuna kila dalili kwamba bunge litasambaratika--hakutakuwa na katiba mpya hapa. kwa hiyo, ni juu ya maCCM kuamua kunyoa au kusuka. yangu macho!!
 
Mkuu wapo wenye nia njema na taifa hili nadhani na wewe unawaju, kama ndivyo amini waweza kuondoka na kuziacha posho.
 
sijawahi na wala sitajaribu maisha yangu yote yaliyobaki duniani kuisupporty ccm na hasa kama hii kura ya siri ikipingwa
 
Napata sana shida kuamini na kuelewa kinachoendelea, mapema kabisa nilikuwa najiuliza hivi kinachoendelea ni hali halisi au ni makusudi? sasa ndani na nje ya ukumbe wa bunge la katiba CCM wanaonekana kama ndo wenye nia ovu juu ya mchakatowa uundaji katiba.
 
Ndugu zangu wadau wana Jf na watanzania wenzangu....................................

Mark my words.
The way I see it, there is no way we will have new constitution this year. We have failed to reach agreement on how to vote, sure there are tough issues stil to be decided and I can not see them compromise. We will fail on this. Too sad we are wasting our resources (time & money).

May be I am too pessimistic on this. Lets hope my feelings are wrong and pray for a better Tanzania.
 
Ndugu yangu mimi pia nina wasiwasi na huko dodoma huenda jamaa wakaanza kuondoka.
 
Katiba isipo patikana CCM itakuwa imevuruga mchakato hivyo inatakiwa kikosi maalumu cha jeshi kiundwe kikawaue wajumbe waliotoka CCM. CCM ni hatari mara mia ya shetani hata shetani mwenyewe anaishangaa CCM kwa ukatili na upumbafu wake

Sishangai hata kidogo kwa chochote kitakachotokea. Kwanza ijulikane na watu wote kuwa suala la kuwepo kwa Katiba mpya siyo ajenda ya CCM, wala hawakuwahi kuota kutengeneza katiba mpya. Suala la mchakato wa katiba mpya ni wazo alilolichukua Rais kwa nia njema baada ya kuona uhitaji wa watanzania. Ila CCM suala la katiba mpya siyo ajenda yao. Balaa ambalo Rais hakuliona ni kuruhusu wabunge wale wale na viongozi wale wale wa CCM kusimamia mchakato wa Katiba ambayo haikuwa hoja yao. Ilikuwa ni jambo rahisi sana kwa wabunge wote wa bunge la katiba wachaguliwe nje ya vyama vya siasa ili liwepo bunge huru la kupitia rasimu ya katiba. Ila kwa kuwa wabunge wale wale walijitungia sheria kuhakikisha kuwa wanakuwa wajumbe wa bila kupingwa wala kuchaguliwa basi tunachokiona Dodoma kiliasisiwa na kukubalika ndani ya CCM na vyama vya upinzani navyo vikaingia kucheza ngoma ile ile bila kuangalia haki ya watanzania kuchagua wabunge wa bunge la katiba. Ikipatikana katiba mpya inayozingatia maoni ya wananchi huo utakuwa ni muujiza wa mwaka 2014
 
Back
Top Bottom