Nawaona Yanga finali ya Klabu Bingwa mwakani

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Najua wapo watu watanitukana kama walivyo nitukana miezi kadhaa nyuma nilivyo sema yanga watafika final CAF federation. Unajua kwanini nasema hivi nimeangalia mechi nyingi za CAF champions.

Nimebahatika kufahamu timu nyingi na mbinu zao za uchezaji sijaona timu ambayo ina mpira wa kutisha saana. Nitasema timu mbili tu ambazo zina nguvu

Mamelodi hawa wanachezea mpira katikati wakikudominite tu basi wamekumaliza hivyo.

Aly Hilal hawa ni wepesi saana ukiwashambulia ila ukicheza mpira wa kuwaogopa unajaza wachezaji wengi nyuma watakumaliza maana wana washambuluaji wenye nguvu saana.

Uchezaji huu wa yanga ndo utawamaliza wengi club bingwa mwakani.

Yanga sijui wanacheza mpira wa aina gani Mimi Nauita kibeyern Munich Hakuna chaugenini Wala nyumbani.

Kwa hiyo mwakani wakibahatika kucheza champion timu nyingi zitamchukulia underdog nimewahi kusema unapo kuwa una cheza Na yanga usijaribu kushambulia ukaacha mabeki watatu au wa wili nyuma utakuwa umejimaliza wana washambuluaji wenye kasi kubwa saana.

Kwa hiyo wakienda ba mpira huu champions league nawaona finali.
 
kweli wenye akili utopoloni wawili tu
Kweli umbumbumbu ni kipaji, ninyi ndiyo Manabii feki kama yule Ke wa Zoo huwatumia kuwa mitaji yao kutajirika.

Nikisema Simba Fans wote ni Mbumbumbu nawe utaniamini hata kama sikufanya utafiti wowote?

Akili, Akili, Akili.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Unafikiri huko kuna vibonde? Mwakani kuingia kwenye makundi hamtaweza
 
IMG_7095.jpg
 
Kweli umbumbumbu ni kipaji, ninyi ndiyo Manabii feki kama yule Ke wa Zoo huwatumia kuwa mitaji yao kutajirika.

Nikisema Simba Fans wote ni Mbumbumbu nawe utaniamini hata kama sikufanya utafiti wowote?

Akili, Akili, Akili.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
mkijitahidi mtafika makundi
ile ni klabu bingwa sio shirikisho jitahidi kutofautisha
 
Yanga ilitolewa kimbinu na Al Hilal ambao walijiangusha mno ikawa sio soka tena. Mechi Zote mbili Yanga ilitawala mchezo, msimu mpya klabu bingwa utopolo daima mbele, hatukubali, sisi zetu ni fainali tu hatujitaji sifa za kuishia robo fainali! Klabu bingwa mwakani patachimbika!

Kuna dogo winga wa Marumo alikuwa na hasira mno akitamani kufunga goli nne kwa dakika 10 akawa akicheza rafu sana hadi Aucho akampiga na mpira huyu dogo aje Yanga Ile hasira na uchungu wa kufungwa akakiwashe klabu bingwa!

Yanga kuzoa pesa ndefu 4b kwa kombe la shirikisho ila hata tukifungwa Bado Yanga ya shirikisho itaipita Simba ya klabu bingwa kwa mpunga itakaopewa!

Kweli Simba wote mbumbumbu kasoro Rage tu!! Unapondage ligi itayompa mpinzani wako pesa kukuzidi!! Simba wanatia huruma sana, kombe hawana na akili pia hawana!!
 
JIHESHIMU KIDOGO.

RAGE ALIWAAMBIA WANACHAMA WACHACHE KUWA NI MBUMBUMBU.

USIPOTOSHE ukweli
TUMIA AKILI
 
Yanga ilitolewa kimbinu na Al Hilal ambao walijiangusha mno ikawa sio soka tena. Mechi Zote mbili Yanga ilitawala mchezo, msimu mpya klabu bingwa utopolo daima mbele, hatukubali, sisi zetu ni fainali tu hatujitaji sifa za kuishia robo fainali! Klabu bingwa mwakani patachimbika!

Kuna dogo winga wa Marumo alikuwa na hasira mno akitamani kufunga goli nne kwa dakika 10 akawa akicheza rafu sana hadi Aucho akampiga na mpira huyu dogo aje Yanga Ile hasira na uchungu wa kufungwa akakiwashe klabu bingwa!

Yanga kuzoa pesa ndefu 4b kwa kombe la shirikisho ila hata tukifungwa Bado Yanga ya shirikisho itaipita Simba ya klabu bingwa kwa mpunga itakaopewa!

Kweli Simba wote mbumbumbu kasoro Rage tu!! Unapondage ligi itayompa mpinzani wako pesa kukuzidi!! Simba wanatia huruma sana, kombe hawana na akili pia hawana!!

Simba ana BILIONI 4 super cup za MAANDALIZI.
Simba ana BILIONI 2 CAF CL.

FICHA UJINGA
 
Back
Top Bottom