kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,832
- 4,070
Ni kweli mkuu Rage aliwaita mashabiki wa simba kiwa ni Mbumbumbu,nadhani sisi wengine hatuwezi kuwa Mbumbumbu kwasababu sisi ni wanachamaJIHESHIMU KIDOGO.
RAGE ALIWAAMBIA WANACHAMA WACHACHE KUWA NI MBUMBUMBU.
USIPOTOSHE ukweli
TUMIA AKILI
Naunga mkono hojaNajua wapo watu watanitukana kama walivyo nitukana miezi kadhaa nyuma nilivyo sema yanga watafika final CAF federation. Unajua kwanini nasema hivi nimeangalia mechi nyingi za CAF champions.
Nimebahatika kufahamu timu nyingi na mbinu zao za uchezaji sijaona timu ambayo ina mpira wa kutisha saana. Nitasema timu mbili tu ambazo zina nguvu
Mamelodi hawa wanachezea mpira katikati wakikudominite tu basi wamekumaliza hivyo.
Aly Hilal hawa ni wepesi saana ukiwashambulia ila ukicheza mpira wa kuwaogopa unajaza wachezaji wengi nyuma watakumaliza maana wana washambuluaji wenye nguvu saana.
Uchezaji huu wa yanga ndo utawamaliza wengi club bingwa mwakani.
Yanga sijui wanacheza mpira wa aina gani Mimi Nauita kibeyern Munich Hakuna chaugenini Wala nyumbani.
Kwa hiyo mwakani wakibahatika kucheza champion timu nyingi zitamchukulia underdog nimewahi kusema unapo kuwa una cheza Na yanga usijaribu kushambulia ukaacha mabeki watatu au wa wili nyuma utakuwa umejimaliza wana washambuluaji wenye kasi kubwa saana.
Kwa hiyo wakienda ba mpira huu champions league nawaona finali.
Basi umefeli kwa sababu kipindi unatabili Yanga alikuwa anacheza klabu bingwa na sasa anacheza shirikisho.Kabla nimefanya mwezi wa 3 mwaka 2022
Ww na uzuri wako umeshindwa hata kufika fainal azam sports federationHakika UMENENA mkuu.
Yani wakikutana na Alhilal Chali.
Wakikutana na vipers Chali.
UTOPOLO Wakijitahidi sana makundi
Club bingwa ni chupi haiwatoshi yangaNajua wapo watu watanitukana kama walivyo nitukana miezi kadhaa nyuma nilivyo sema yanga watafika final CAF federation. Unajua kwanini nasema hivi nimeangalia mechi nyingi za CAF champions.