Uchaguzi 2020 Nawaonea huruma madiwani na wabunge waliopitishwa kwa tiketi ya CCM

Hii post inasubiri kupitiwa na Moderators ili iende kwa umma!
 
Mwenye matokeo ya Jimbo la kisure ( KAWE) Atupe updates hapa
 
Mbona Lissu kwenye kampeni zake kila siku alikuwa anamponda Magufuli badala ya kumwaga sera za maendeleo?
Usisahau, Bungeni si sehemu ya kunadi sera.

Kampeni na Bungeni Ni sehemu mbili tofauti kabisa. Ndiyo maana Bungeni unaingia kwenye jengo kabisa na kampeni unaweza panda hata juu ya meza ukahutubia.
 
Gharama walizotumia chadema kwenye kampeni halafu wameporwa ubunge hadi urais inaumiza ,big investment halafu hakuna Jimbo hata moja la chadema [emoji56][emoji56][emoji56].
 
Mkuu
Embu andika kama msomi. Mbunge anapesa mpk afanye nn bungeni? Mbunge ana bajeti?

Suala la maendeleo ni la Serikali, sio mbunge.

Ulitaka mshahara wa Heche ukajenge barabara?

JF ya siku hizi imejaa vilaza sana
 
Wengi hawalioni hili
Ni swala la muda
Wataanza kujuta na kujilaumu
Wataishi kwa hofu
***** mods acheni kufuta msg zetu humu sasa shida nini .....
itabidi mvumilie tu huoni upepo unavyovuma...
 
Usisahau, Bungeni si sehemu ya kunadi sera.

Kampeni na Bungeni Ni sehemu mbili tofauti kabisa. Ndiyo maana Bungeni unaingia kwenye jengo kabisa na kampeni unaweza panda hata juu ya meza ukahutubia.
Kiongozi.

Sikuwa na maana Bungeni watu wamwage sera, nilijibu hoja yako ya "kuponda" ndio maana nimekutolea mfano wa Lissu alivyokuwa anamponda Magufuli kwenye kampeni badala ya kumwaga sera za maendeleo
 
Mkuu
Embu andika kama msomi. Mbunge anapesa mpk afanye nn bungeni? Mbunge ana bajeti?

Suala la maendeleo ni la Serikali, sio mbunge.

Ulitaka mshahara wa Heche ukajenge barabara?

JF ya siku hizi imejaa vilaza sana
usimlaumu huyu. ujanja huu Magu kawaaminisha watu Na ndio kihezo kikuu ktk kura yaani ili wapate maendeleo lazima wachahue ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…