Uchaguzi 2020 Nawaonea huruma madiwani na wabunge waliopitishwa kwa tiketi ya CCM

I can see how you are grieving..poleni sana ndio siasa hiyoo mchezo wasayansi na kushambuliana golini kwa zamu wakati wa kampeni jukwaa mliliteka ila sasa ni vilio na malalamishi.

Jipangeni uchaguzi ujao.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Chadema imekufa fa fe fi fo fu
 
Mbowe, Lema, Sugu aka Mbilinyi, Msigwa, Prof Jay, Matiko, Raymond, Henche, who is next ..... ...... .....

Hao ndio waliokua wanamwita rais JK dhaifu, wakumbushe JK alichowaambia wakati anampongeza JPM

Uwakumbushe hakuna mwenye hatimiliki ya majimbo na wangekua wanafanya kazi wananchi wasingewaacha hata kina Andrew Chenge wanajua
 
Hao ndio waliokua wanamwita rais JK dhaifu, wakumbushe JK alichowaambia wakati anampongeza JPM
View attachment 1615599
Uwakumbushe hakuna mwenye hatimiliki ya majimbomajimbo hata kina Andrew Chenge wanajua
Baada ya CCM kulawiti uchaguzi huu jiandae kwa wananchi wote kuanza kulawitiwa ikiwa ni pamoja na wana CCM wote.Kwenye hilo hakutakuwa na ubaguzi.Shetani(dikteta) huwa hana rafiki.Kuzimwa kwa internet/mitandao ya kijamii ni manyunyu tu,the worst is yet to come!Usifikiri kuwa upo salama kwa sababu upo CCM.

mama D haupo salama wewe wala familia yako wala ndugu zako wala marafiki zako.Njia pekee ya wewe kuwa salama ni kusimamia haki,kupinga dhuluma hii na kuwa upande wa wale wote wanaopinga ulawiti huu wa demokrasia Tanzania uliofanywa na CCM.
 
I can see how you are grieving..poleni sana ndio siasa hiyoo mchezo wasayansi na kushambuliana golini kwa zamu wakati wa kampeni jukwaa mliliteka ila sasa ni vilio na malalamishi.

Jipangeni uchaguzi ujao.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Kura za maruhani.
 
Wewe endelea kuugulia penicillin injection na kitaalamu huwa wanasema haifai kuchomwa kwenye jua kali na ukishachomwa shruti ukae kwanza..zingatia hayo Mike

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Mkuu basi imetosha tushakubali.tufungulie mitandao basi boss. Wengine ajira zetu ziko mitandaoni,tutalipaje Kodi mmumalizie stiglazgoge.
 
Kelele nyingiiii kumbe hamna lolote BAVICHA.
Hawakua na malori ya kura zilizokwisha kupigwa ili washinde.Walikuwa wanapiga kelele za haki ktk uchaguzie.Ila kama mnafikiri mko salama subiri uone tutakavyoswagwa km ng'ombe.Ni muda wa kulia na kuhuzunika pamoja.
 
Baada ya CCM kulawiti uchaguzi huu jiandae kwa wananchi wote kuanza kulawitiwa ikiwa ni pamoja na wana CCM wote.Kwenye hilo hakutakuwa na ubaguzi.Shetani(dikteta) huwa hana rafiki.Kuzimwa kwa internet/mitandao ya kijamii ni manyunyu tu,the worst is yet to come!Usifikiri kuwa upo salama kwa sababu upo CCM.

mama D haupo salama wewe wala familia yako wala ndugu zako wala marafiki zako.Njia pekee ya wewe kuwa salama ni kusimamia haki,kupinga dhuluma hii na kuwa upande wa wale wote wanaopinga ulawiti huu wa demokrasia Tanzania uliofanywa na CCM.
Inaelekea wewe ndio umeanza kuishi kwa shidashida sasa, wengine tumeishi hivyo tangu tunazaliwa ila sasaivi tuna kanafuu japo mama ntilie hatulipi ushuru wa zile elfu5 kwa siku hata hospitali tunapata huduma, shuleni watoto wanaenda na barabara zinapitika.
Kwa kweli kwetu wa maisha ya chini kuna kaahueni kubwa serikali hii
 
Huwa ninasema kila siku akili ya muafrika the best it can do ni kuvukia barabara, not logical and rational thinking... Imagine mtu anashangilia kupangiwa mtu wa kumtawala, imagine licha ya kuona jirani yake, ndugu yake na Mtanzania mwenzake abadhulumiwa haki yake, ameumizwa na wengine kuuawa but yeye ndiyo kwanza anakenua meno kwa furaha. Na hapo wala hatarajii kupata chochote wakati wenzake waliyofanya hayo wanategemea malipo au fadhila....
Kuwa na amani mkuu,ni muda mchache sana uliobaki tutaimba wimbo mmoja,tutalia na kuomboleza pamoja.Hili nililiomba kwa Mungu na amesikia. Kuna wapumbavu wachache wanaodhani wako salama.
 
Inaelekea wewe ndio umeanza kuishi kwa shidashida sasa, wengine tumeishi hivyo tangu tunazaliwa ila sasaivi tuna kanafuu japo mama ntilie hatulipi ushuru wa zile elfu5 kwa siku hata hospitali tunapata huduma, shuleni watoto wanaenda na barabara zinapitika.
Kwa kweli kwetu wa maisha ya chini kuna kaahueni kubwa serikali hii
Umelawitiwa hadi mawazo.Duuuh!!
 
Umelawitiwa hadi mawazo.Duuuh!!
Mawazo yenu ya kishogashoga ndio maana jamaa yenu wazalendo wa nchi hii tumempiga chini kwa kumpa kura nyingi sana Magufuli.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Chadema imekufa fa fe fi fo fu
Napata Shaka kidogo na uelewa wa hao wanaoshangilia matokeo ya uchafuzi huo wa demokrasia, uhuru na haki unaondelea nchini huku wakidhani kuwa wataepuka athari zake. Ni umbumbumbu na kukosa uelewa kwa kiwango kikubwa kabisa kushangilia uchafuzi huu. Athari zake zitamfika kila mtanzania bila kujali wewe ni mwana CCM au la. Ni suala la muda tu.
 
Umelawitiwa hadi mawazo.Duuuh!!
Mawazo yenu ya kishogashoga ndio maana jamaa yenu wazalendo wa nchi hii tumempiga chini kwa kumpa kura nyingi sana Magufuli.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA

This is... nadhani umemuelewa kaka yake mama D Mulokozijr12 sisi hatunaga hiyo michezo yenu mnayofanyaga na amstadamu

Inawezekana kabisa haya matokeo ndio hukumu yenu maana Imeandikwa, 1Wakorintho 6:9 "Au hamjui yakuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu wala wabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti ."
 
Umelawitiwa kimawazo sawasawa.Bado muda mchache tutaongea lugha ,tutalia pamoja.tuko ndani ya chama kimoja.WEKA AKIBA YA MANENO,USISAHAU KURUDI HAPA.Ni punguani tu pekee anaweza kushangilia upinzani bungeni kuuawa.
 
Hatukati tamaa lakin viongozi wa upinzani wanachoshaa wamekaa ndani tu pumbavuu zao
Mm ndio kitu nashangaa mpaka saivi sioni tamko walilotoa kuhusu huu uhuni wa necccm na mapolisi wao
 
Napata Shaka kidogo na uelewa wa hao wanaoshangilia matokeo ya uchafuzi huo wa demokrasia, uhuru na haki unaondelea nchini huku wakidhani kuwa wataepuka athari zake. Ni umbumbumbu na kukosa uelewa kwa kiwango kikubwa kabisa kushangilia uchafuzi huu. Athari zake zitamfika kila mtanzania bila kujali wewe ni mwana CCM au la. Ni suala la muda tu.
Chadema ilishajifia hiki kilichobaki kilikua kikundi cha wahuni waliokua wanatumia demokrasia kama ngao kutekeleza uporwaji wa wananchi na mali zao

Upinzani ni muhimu sana kwa afya ya taifa lakini uwe upinzani wenye uzalendo sio huu wa akina Zito, Tundu, Maalim na wenzao
 
This is... nadhani umemuelewa kaka yake mama D Mulokozijr12 sisi hatunaga hiyo michezo yenu mnayofanyaga na amstadamu

Inawezekana kabisa haya matokeo ndio hukumu yenu maana Imeandikwa, 1Wakorintho 6:9 "Au hamjui yakuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu wala wabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti ."
Inashangaza shetani kuquote na maneno ya biblia takatifu.Niwekee clip ambayo Lissu alisema anaunga mkono ushoga.Tuanzie hapo.
 
Umelawitiwa kimawazo sawasawa.Bado muda mchache tutaongea lugha ,tutalia pamoja.tuko ndani ya chama kimoja.WEKA AKIBA YA MANENO,USISAHAU KURUDI HAPA.Ni punguani tu pekee anaweza kushangilia upinzani bungeni kuuawa.
Upinzani ulishajifia miaka mingi hiki kilichobaki kilikua kikundi cha wahuni waliokua wanatumia demokrasia kama ngao kutekeleza uporwaji wa wananchi na mali zao

Upinzani ni muhimu sana kwa afya ya taifa lakini uwe upinzani wenye uzalendo sio huu wa akina Zito, Tundu, Maalim na wenzao
 
Ukweli mchungu ni kuwa shamrashamra zikishapungua, mwenyekiti wao bila kificho atawaambia kupitia umma kuwa sasa ni wakati wa kulipa fadhila. Haiingii akilini uwang'oe Mdee, Mbowe, Lema, Mbilinyi, Bulaya, Heche, Matiko, Msigwa na usilipe fadhili (price to pay).

Jiandaeni kisaikolojia. Jiandaeni kutumika kama pampas ndani ya chama chenu hicho hicho. Jiandaeni kufungwa midomo. Jiandaeni na utumwa huru.

Najua wengi nafsi hazina kicheko japo kinywani vipo. Dr. Tulia kasema mwenyewe hawakustahili. Sio kauli ya kubeza tu. Wameona uhalisia na sasa wanashangaa

Ni kama Yuda aliyetamani kuvitema vipande vya fedha ikashindikana kwa kuwa ilibidi maandiko yatimie, ila ole wake ambaye maandiko yametimia kwa njia ya yeye.
BUNGE LIJALO TUTEGEMEE HAYA
1. UKOMO WA RAIS KUTENGULIWA
2. UONEVU MWINGI KUWA ZAIDI YA MIAKA 5 ILIYOPITA
3. VYOMBO VINGI MEDIA KUTOWEKA
4.VYAMA VINGI KUFUTWA
5. WASIOJULIKANA KUJITAWALA
6.VIFO VINGI VYA UONEVU
 
Back
Top Bottom