Uchaguzi 2020 Nawaonea huruma madiwani na wabunge waliopitishwa kwa tiketi ya CCM

Inashangaza shetani kuquote na maneno ya biblia takatifu.Niwekee clip ambayo Lissu alisema anaunga mkono ushoga.Tuanzie hapo.
Utakaponikuta reception siku hiyo nikiwa nawaelekeza wenzio kwa Mungu na wewe nikakuelekeza njia ya kwenda jehanam ndio utajua shetani ni nani
 
Akili imevia sio bure.na kuongea na mtu low km wewe ni kupoteza muda.Nalog off.
 
Mwaka 2010 na 2015 wakati Jaji Lubuva akitangaza matokeo watu bila kujali vyama vyetu tulikuwa na furaha sana. Huku jaji akimtaja Magufuli watu wanashangilia, akimtaja Lowasa watu wnaashangilia akitajwa Chief Lutalosa Yemba tunacheka na kufurahi. Lakini Leo nimetembea wilaya tatu kwa siku moja kokote nilikopita watu hawana habari na matokeo. Hakuna mood kabisa. Tv zimewashwa kila mahali laikini watu haata hawangalii. Unajiuliza inamaan nchi nzima ilikuwa ya wapinzani.?
 
Refer paragraph #1 hapo juu sema Magufuli mume wangu,hao pundamilia wanaofanana wakishaingia mle jengoni wanakopiga makofi hovyo huyo unayemshangilia hapa akawaamuru waunde muswada kuwabana wadaiwa wa HESLB hata wasiojulikana kama wameajiriwa ama lah ili kila mwezi walipe 170K ya deni lao otherwise waende jela ndo utajuta........

Utachagua umsaidie dada yako kukata mauno chumbani au uende jela,na navyokuona wewe utachagua option A kumsaidia dada kukata viuno maana una uelewa finyu sana.
 
Yap yap, hy option A ndio mzur itabid nije na kwako nkukatie mauno, au unasemaje mkuu.?
 
Usiharibu maana ya sayansi. Akija kukuibia mtu akaondoka na TV yako utasema katumia sayansi? Think!
 
Hongera zako uliye na logical and rational thinking. Nadhani makada wa upinzani pekee ndo wana hii kitu
 
Kuna mtu akifa leo hii,mitandaoni na mitaani itakuwa ni sherehe.
Kuna watu wenye akili Kama zako walimuombea na kumusemea kifo yule mzee mwenye Nywele nyeupe lakina Cha ajabu wao ndo wamekufa yeye wakamuacha.
Kwahiyo sitaona Wala kushangaa Kama nawewe ukifa kabla ya unae muombea na kumtakia kifo.

Ushauri; Tukifunze kuthibiti vinywa vyetu maana maneno huumba.
 
Hivi wewe uliamini kabisa kuwa Chadema watashinda? Pole sana na msisikitike sana jifunzeni pale mlipojikwaa.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Kwa Tanzania hasa ya Magufuli kushinda na kutangazwa ni vitu viwili tofauti tena visivo tegemeana. Nipo na CCM wenzio waandamizi nao wanashangaa kinacho endelea. Kwa mara nyingine tena impact ya yanayo endelea ni hasara kwa taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…