Nawaonea huruma makanjaja wa habari jinsi wanavyohangaika wiki ijayo

Nawaonea huruma makanjaja wa habari jinsi wanavyohangaika wiki ijayo

Mimi huwa nashangaa hivi hawa akina kitenge, Dauda, Jeff Leah, na wote of the like walipataje kazi? Yaani wao fact moja ina wafanya wa generalize mambo. Bila facts za kutosha. Nilimshangaa siku moja mtangazaji wa TBC, alikuwa na shauku kuona Simba aidha anafungwa au anatoa draw. Sasa Azamu walipo funga goli la pili alilishangilia balaa. Kabla hajamaliza kufurahia akashangaa Simba wamesawazisha. It was my fisrt time kumsikiliza lakini nikajua huyu ni Utopolo. Poor makanjanja.
Mwingine yuko itv anajifanya ana mahaba kuliko kazi iliyomwajili, sijui ana hali gani halafu wamempa.kipindi cha michezo
 
Back
Top Bottom