SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Yaani siyo kupapaswa tu leo wanakeketwa mchana kweupeeeeee hawataamini.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Utopolo mnateseka sanaaa. Na leo Mbeya city anawapapasa.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Simba ndo utopolo??...ninyi mnaingia kwenye uzushi wa kijinga ili timu yenu utopolo ikubalike
Alikuwa bado kwao anachunga mbuziHuyo unayemsifia tulishawahi kumpiga kwao na kumg'oa kwenye klabu bingwa ya Afrika!
Al Ahly kupigwa na Simba ni Jambo la kawaida, au wewe umezaliwa jana?
Endelea kupiga spana mpaka maji waite mma.Wanakera sana wanatuombea dua mbaya wakati tukifanikiwa tunawatupiaga mbeleko nao wapande ndege.
Simba ndo utopolo??
Mwingine yuko itv anajifanya ana mahaba kuliko kazi iliyomwajili, sijui ana hali gani halafu wamempa.kipindi cha michezoMimi huwa nashangaa hivi hawa akina kitenge, Dauda, Jeff Leah, na wote of the like walipataje kazi? Yaani wao fact moja ina wafanya wa generalize mambo. Bila facts za kutosha. Nilimshangaa siku moja mtangazaji wa TBC, alikuwa na shauku kuona Simba aidha anafungwa au anatoa draw. Sasa Azamu walipo funga goli la pili alilishangilia balaa. Kabla hajamaliza kufurahia akashangaa Simba wamesawazisha. It was my fisrt time kumsikiliza lakini nikajua huyu ni Utopolo. Poor makanjanja.