Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Leo Simba. Watake wanafungwa, wasitake wanafungwa. Yaani wanapigwa ndani wanapigwa nje.
Wanapigwa wakisimama wanapigwa wakikaa. Wanapigwa wakiinama wanapigwa wakichuchumaa. Wanapigwa wakilala wanapigwa wakikimbia. Hamna namna wanapigwa.
Nasema hapa kama Simba hata wakipata draw leo mimi nakula hadharani kabisa ugali na samaki na matembele. Kisha napost. Na naomba Admins wanipige ban ya siku 3 kavu kabisa. Ban ambayo nisiweze hata kugusa simu.
Simba mwakarobo tumeshawazoea ndo zao hizo. Eti wakali wa hizi kazi, wakali wa hizi kazi au wakali wa mashuzi?
Wanaume wagumu, tunadumu.