Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Kipindi Cha mwendazake wengi walitangazwa kinguvu na wakurugenzi licha ya chadema kushinda viti vingi including kawe na Ubungo.
Wakurugenzi walikuwa wameshaelekezwa kuwa atakayetangaza chadema tu basi ajihesabu hana kazi na hakuna aliyekuwa tayari kupoteza kazi kisa kumpa ulaji mwingine.
Kwa sasa Samia kaja kivingine kabisa, ni mtu wa haki, amani na asiyekuwa na mabavu kwa lolote. Atakayeshinda ndo atayetangazwa na zaidi ya hapo kutakuwa na time huru ya uchaguzi tayari ambayo ni kifo cha akina msukuma na wengineo.
2025 kutakuwa na 50, 50 ya wabunge wa chadema na CCM au Chadema itaifunika CCM. Nasema chadema kwa sababu hivi vingine Kama ACT nk Ni vyama vya mfukoni hakuna anayevijua kabisa huku duniani.
Asante mama kuondosha unyanyasaji na ndo Mana akina pengo na shehe mkuu wa dar wamepwaya Mana bila dhulma wanaona dunia haiendi