Nawaonea huruma wadada wasio na "mizigo" mikubwa

Naunga mkono hoja cc Numbisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha hahaha hahaha
Mecheka saaaana jamanii!
Hahaaa na subiri wanitumie picha zako nyingine zinazo onyesha uso wako na msambwanda jinsi ulivyo ..... I hope sehemu hizo zitakuwa na mabaka kama duma .....

Lakini mimi nime kupenda hivyo hivyo tu ...huwa na desturi ya kuvutiwa na vitu vilivyo na upekee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha hahaha
Daaahhhh.... Wakikutumia nishtue jamanii rafiki.....

We nipende tuu ivo ivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…