Nawaonea huruma wadada wasio na "mizigo" mikubwa

Nawaonea huruma wadada wasio na "mizigo" mikubwa

Ukioa mwanamke mwenye chura kubwa unajitafutia balaa, yaani unakua umeoa bango la biashara!! Mbaya zaid na yeye ajione kuwa ni mbora zaidi ya wengine, utakoma!

Kuna simple women, real simple, humble, easy to carry n smart upstairs!! Ewaaa, hawa sasa unakuwa umeoa brained computer! Unapata mengi, mama, mshauri, hot in bed, funny n many more!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe unaogopa kuibiwa si kwamba hauwapendi, tuseme wewe ni sitaki nataka [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli. Hasa mapozi yao yanatia huruma!

1552639250202.png
 
Mkuu kama ni fahari ya macho sawa,ila kiuhalisia kunako 6 kwa 6 slim body wako vizuri,mambo ya kuanza kupiga jeki mitako ndio ule tunda hata sitaki,ndio maana asilimia kubwa hata wazungu wanapenda slim body,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom