Hahaha hahaha hahahaNini kingine ambacho ninacho paswa kuwa nacho zaidi ya kuwaombea dua njema
Sent using Jamii Forums mobile app
Samaki twende kwenye Uzi wetu wa pesa[emoji848][emoji848][emoji848] Mmh watu wenye macho mekundu ni nadra kuwa na tako.
Hahaha hahaha
Nashukuru. .nafurahia uwepo wenu hapa ..nyinyi nyote ...asanteni Sakayo hazard cfcAhsante Sana nawe pia ,kwa company yako,mie pia nawakimbia kdg
Siku imeenda bien
Mkuu hearly ngoja niongee na wadau kdg hapa
MTC | 101| [emoji769]
Twende mzee.
Siku hizi wasio na ujazo nyuma wanaonekana kama walemavu.
Duu jamani wewe mkaka vibaya hivyo kwa watoto wa wanaume wenzio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya sawaWa hivi wamejaa ARUSHA jamani mpk kero...! unakuta kidada sura safi ngoja kikupe mgongo huwezi jua kinaondoka ama kinakujia..[emoji45][emoji45][emoji45][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa likivyo na sura yakutisha hivi kwanini asilifiche jamani haaaa kama ukuta wa matope[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na huyu kanizidi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1043788
Kumbe unaogopa kuibiwa si kwamba hauwapendi, tuseme wewe ni sitaki nataka [emoji23][emoji23][emoji23]Ukioa mwanamke mwenye chura kubwa unajitafutia balaa, yaani unakua umeoa bango la biashara!! Mbaya zaid na yeye ajione kuwa ni mbora zaidi ya wengine, utakoma!
Kuna simple women, real simple, humble, easy to carry n smart upstairs!! Ewaaa, hawa sasa unakuwa umeoa brained computer! Unapata mengi, mama, mshauri, hot in bed, funny n many more!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Demiss, miss chaga, miss natafuta njooni basi.
Demiss ndo type ya mwanamke nimtakaye popote alipo ajue hilo kwa faida yake na yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaNingekuwa wakwanza kuamini ...laiti kama Nigekuwa nina ugeni na wewe humu
Sent using Jamii Forums mobile app