Nawaonea huruma wadada wasio na "mizigo" mikubwa

Kwa utundu utundu wangu naweza sema, hao mnaoona wenye hizo neema za Allah huwa wengi ni mtera
 
Kungekuwa na sheria inayomtaka kila mwanaume aoe mwanamke mwenye (shape) umbile kama la mama ake mzazi, naamini baadhi ya wanaume wasingewadharau na kuwakejeli wanawake wasio na makalio makubwa....πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
Dah sijui hata umewaza nini wewe jamaa

Haha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kungekuwa na sheria inayomtaka kila mwanaume aoe mwanamke mwenye (shape) umbile kama la mama ake mzazi, naamini baadhi ya wanaume wasingewadharau na kuwakejeli wanawake wasio na makalio makubwa....πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
[emoji23][emoji23][emoji23]Aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…