Lily Tony
JF-Expert Member
- Feb 6, 2019
- 3,198
- 4,191
acha wajue,,nina vifaa vya kukalia badala ya takoAjue kuwa huna tako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha wajue,,nina vifaa vya kukalia badala ya takoAjue kuwa huna tako?
Lazima nione hivyo vifaa.acha wajue,,nina vifaa vya kukalia badala ya tako
Wakuu mi niseme tu ukweli nikikutana na binti mrembo halafu awe ame pass like a shadow huku nyuma naanza kumuonea huruma.
Naanza kumsikitia nikiwaza jinsi anavyojifiria anapokutana na wenzake ambao Wana mzigo wanaojambia mbali.
Unakutana mjini na katoto kakali balaa ukigeuza shingo uangalie alichobeba chooni unakuta anadanganya work done zero hakuna kitu.
Nawashauri tu wadada slim muwe mnavaa hata zile chupi zenye matako ya ziada kidogo nitakuwa siumii roho nikiwaona.
Huwa nahisi kabisa hamjaridhika na mlichopewa. Ni sawa na Mimi Sasa hivi niwe Sina hela alafu niwe na kibamia halafu eti niseme naridhika tu na jinsi nilivyo nitakuwa nadanganya umma.
Nazungumzia wale ambao matako Yao madogoo kushinda hata ya boyfriends zao.
View attachment 1042924
Lazima nione hivyo vifaa.
😄😄 sawaLazima nione hivyo vifaa.
Kungekuwa na sheria inayomtaka kila mwanamke aolewe na mwanaume mwenye maumbile kama wa baba yake mzazi naamini hii kero ya vibamia isingekuwepo.Kungekuwa na sheria inayomtaka kila mwanaume aoe mwanamke mwenye (shape) umbile kama la mama ake mzazi, naamini baadhi ya wanaume wasingewadharau na kuwakejeli wanawake wasio na makalio makubwa....🙂🙂🙂
RealKungekuwa na sheria inayomtaka kila mwanamke aolewe na mwanaume mwenye maumbile kama wa baba yake mzazi naamini hii kero ya vibamia isingekuwepo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1]Kungekuwa na sheria inayomtaka kila mwanaume aoe mwanamke mwenye (shape) umbile kama la mama ake mzazi, naamini baadhi ya wanaume wasingewadharau na kuwakejeli wanawake wasio na makalio makubwa....🙂🙂🙂
Bora amejisemea kama yeye,wengine kwa viportable hatujiwezi yani hazipo kabisaa...utuache na vimakalio vyetu😒😒
Hahah atoe uthibitisho kidogo sioNaomba kumjua kama una kapicha kake.
We Kijana umeona wap kalio lake..Hujafunzwa adabu kwenu??Ana tako flani mashaalah! Lakini siyo LA kuvunja chaga
😀😀😀 chief upo vizuri ila-yakupasa utofautishe viti vya mbao na viti vyenye mnensoMimi napenda sana skinny girls, ni watamu balaa! hao wenye matako makubwa sitaki hata kuwaona
Write your reply...
Kungekuwa na sheria inayomtaka kila mwanaume aoe mwanamke mwenye (shape) umbile kama la mama ake mzazi, naamini baadhi ya wanaume wasingewadharau na kuwakejeli wanawake wasio na makalio makubwa....🙂🙂🙂
Eeeh maana bila picha hakuna ukweli.