Nawaonea wivu walionunua hisa za DSE

Kwa hiyo hapo niandae kama kilo nne kwa vyote hivo.. duuh ntajitahidi angalau hata kimoja sio mbaya
 
Bavaria Did you throw caution to the winds on this? Look, the ship is going North.

I see man, with this government? Everything is unpredictable..

Yesterday, i was in a certain workshop. I met an ethiopian who does his thesis on the effects of commodity market exchange in ethiopia.

This shit is real.
 
Kwani unaweza kununua hisa mwezi huu ukaziuza mwezi ujao? si lazima usubiri ziweze ku mature au?
 
I see man, with this government? Everything is unpredictable..

Yesterday, i was in a certain workshop. I met an ethiopian who does his thesis on the effects of commodity market exchange in ethiopia.

This shit is real.
hahaha i will find you bro, i need to hear the story. But we shouldn't have left this opportunity passed. Anyway, its not the end.
 
Mbona hujanistua mahabuba wako? Umeniacha nawekeza kwenye safari lager tumboni street? Tutazeeka vibaya ujue.

Baada ya kusema hayo napenda kukufahamisha kuwa Biggie Sammy Cool anakumiss big time...
 
Hey bro
Would u mind comment on the DSE shares's performance ? How do you see them after 6 month or a year to come
 
Mbona hujanistua mahabuba wako? Umeniacha nawekeza kwenye safari lager tumboni street? Tutazeeka vibaya ujue.

Baada ya kusema hayo napenda kukufahamisha kuwa Biggie Sammy Cool anakumiss big time...

Hahahaha mahabuba Big Sam... miss you more...
Hizi news bana nilipigiwa simu na mmoja wa brokers on the last day ya kununua hisa. Nashukuru Mungu kilongalonga changu na njia ya mitandao ya kuhamisha fedha ilisaidia kukamilisha miamala hatimaye nikanunua hisa kadhaa.

Kwa presha niliyopigwa siku ile siku kumbuka hata maana muda ulikuwa hafifu ila dhumuni lilitimia.
Wakati ujao nitakutahadharisha mapema ili tuwekeze pension yetu mapema tukistaafu tutakuwa tu nasafiri tuu huku na kule kwa starehe zetu.

Ndani ya miaka 2 ijayo kampuni za simu zi atarajiwa kujisajili kwenye soko la hisa... hapa ndo pa kuuza gari na kununua hisa maana ndani ya mwaka mmoja utakuwa na faida ya kununua magari hayo hayo brand new 3....ofcourse with economic stability and other things remain constant.... ceteris paribus
 
Kassie darling, Will you marry me??
 
Hahahaha! Nimependa wivu uliokupata, inaelekea umejifunza na utaendelea kujifunza. Stop stalking them and start "stocking"!
 
DSE wao wenyewe ni kampuni na ndo walifanya IPO ya kampuni yao. Kwa hiyo hizo hisa ni za DSE. Umenisoma hapo? Hata sahiv embu jaribu kuingia kwenye web ya DSE halafu nenda kwenye market report utaiona
Thanks
 
Kassie darling, Will you marry me??

Hahahahahahahaa what else should I say Kasie mie...... I do..... Muah!

Ila tuu unipe training ya mitaala ili nisiwe napata wivu na hasira ya kugombana na wenza looh.
 
Hapa kuna mtu anaelezea kitu asichokijua kabisa!!
 
hahaha i will find you bro, i need to hear the story. But we shouldn't have left this opportunity passed. Anyway, its not the end.

Halafu sijui kwanin sikukualika kwenye hiyo workshop. Ungekutana na international figures nyingi sana.
 
Hahahahahahahaa what else should I say Kasie mie...... I do..... Muah!

Ila tuu unipe training ya mitaala ili nisiwe napata wivu na hasira ya kugombana na wenza looh.

Umeanza vikwazo vyako......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…