Nawaonea wivu walionunua hisa za DSE

Nawaonea wivu walionunua hisa za DSE

Sasa mdau wa DSE miaka mingi hujui DSE wanafanya biashara gani? hahahahaha.. mkuu umefanya jumapili yangu kuwa nzuri sana😀😀😀😀😀😀
Of coz sijui biashara waliyoifanya mpaka wakaatrack watu kununua hisa kwa hiyo bei. Labda unifundishe mimi.
Wamedeclear dividend? Kuna inside information kuwa faida yao imekuwa kubwa sana?
 
Demutualization ya soko imetendeka. Now its shares are listed in its own floor. Bei kupanda twice is not necessarily meaning its financial performance is good. Ni watu tu wana favourablr expectation on its future performance. We believe the market will expand and new products will be introduced. For instance, we are waiting for tigo, airtell....the likes to be listed. Also Bank M pia inataingia

In general, players will subsequently increase and also liquidity of the market will increase as we are expecting more products

Ndio maana bei imeshoot haraka lakini performance ya dse ya just year ended will not be good kwasababu soko limedorora sana hasahsa quarter ya nne. ukisoma prospectus wamekuwa wawazi wenyewe kuwa they expect decrease in revenue
 
Of coz sijui biashara waliyoifanya mpaka wakaatrack watu kununua hisa kwa hiyo bei. Labda unifundishe mimi.
Wamedeclear dividend? Kuna inside information kuwa faida yao imekuwa kubwa sana?
So far price ipo driven na demand ambayo ni kubwa, possibly labda public wana think labda mbeleni itakuwa hot cake sana ndo mana kunakuwa na competitive bidding ambayo inapandisha price up up and away. But hata hivo hata ukipitia ile prospectus ya DSE kuna information nyingi sana ambazo zina signal hiyo equity ya DSE itakuwa hot sana. Embu itafute u download halafu upepese macho kidogo
 
Kwa issue hizi kitabu cha ukweli na cha uhalisia sana ni cha Benjamin Graham Inteligent Investor ambacho mheshimiwa Warren Buffet amekuwa akifanyia kazi toka akiwa mwanafunzi wa Graham to be number one investor. Ila kwa upande mwingine fursa zipo kwenye mabadilishano ya fedha yaani forex ili soko sasa kila siku linabadilisha dollar Trillion 5 kwa wastani kila siku nawe unaweza kuchukua sehemu ndogo nina miaka kama mitano nimejifunza ya kutosha najua kuna watu watabisha link hiyo hapo Daily FX volumes hold above $5 trillion in Feb-CLS ukitaka kujua ukubwa wa forex nataka nianzishe kampuni ya kufundisha watu hii kitu inashangaza natafuta modelity nzuri ya fedha na sheria za nchi yetu ili kuwafanya vijana wengi wasiendelee kupata shida ya ajira. Maana inahitaji mtaji mdogo na potential ni kubwa
 
Hii kitu imekuwa crazy sana ila moja ya sababu kubwa ni kwasababu zile zile za masoko ya Tanzania kuwa kulikuwa na oversubscription kubwa sana na hivyo wale waliorudishiwa hela zao ni magiant wa zaidi ya 5m kwahiyo wanawatoa hawa wadogo si unajua Treasury bill na bond inataka kuwa issue sasa wale ambao ni lazima wawe na hizi vitu kwa misingi ya kisera basi inabidi wawaondoe speculator halafu waone ila kwa kuifanyia study kidogo price up to TZS1,200 in short run ndipo palipo na upper resistance ikipita hiyo huko juu inaweza kuwa balaa ina kuna support kubwa sana kwenye TZS 800 ikitoboa hiyo usichangae kuiona 600. Halafu wale big fish wanakuja tena kuipeleka juu. Huu ni mtizamo wangu wa very short term ila hii kwa scalper inaweza kulipa nunua 1020 uza 1200 nusu weka stop kwenye 1090. Ikiwa hii ni stock market ya tatu tu Africa kufanya hivi kunamwitikio kutoka nje nao lazima utakuwa kwenye back ground. Nashauri watu wasome Kenya history na Johannesburg ambao wemefanya hii kitu. Kwa ujumla iko vizuri ingawa habari ya kushuka mapata kwa mwaka jana inaweza kuonyesha fundamental haziko vizuri ila soko limepokelea vizuri. Huu sio ushauri wa kuinvest ikitaka ushauri huo watafute washauri waliosajiliwa kwa kufanya kazi hayo haya ni mawazo huru ikiangalia hali ya soko and the past perfromance does not determine future results.
 
Nimekusoma sana mkuu.. unaonekana we mtaalam wa haya mambo. upo nchi gani? sana sana una wekeza kwenye markets zipi? stocks peke yake?
 
Kwa issue hizi kitabu cha ukweli na cha uhalisia sana ni cha Benjamin Graham Inteligent Investor ambacho mheshimiwa Warren Buffet amekuwa akifanyia kazi toka akiwa mwanafunzi wa Graham to be number one investor. Ila kwa upande mwingine fursa zipo kwenye mabadilishano ya fedha yaani forex ili soko sasa kila siku linabadilisha dollar Trillion 5 kwa wastani kila siku nawe unaweza kuchukua sehemu ndogo nina miaka kama mitano nimejifunza ya kutosha najua kuna watu watabisha link hiyo hapo Daily FX volumes hold above $5 trillion in Feb-CLS ukitaka kujua ukubwa wa forex nataka nianzishe kampuni ya kufundisha watu hii kitu inashangaza natafuta modelity nzuri ya fedha na sheria za nchi yetu ili kuwafanya vijana wengi wasiendelee kupata shida ya ajira. Maana inahitaji mtaji mdogo na potential ni kubwa
Kabla hujaanza kutufundisha show us your forex trading P & L statement na usitulee demo,tuwekee live account from a credible broker
 
Nikianzisha kufundisha nitaonyesha live yangu ila wanafunzi wote wanafunguliwa demo credible broker FXCM, Forex.com na Gcitrading nimekuwa nikiwatumia wako vizuri. Bado sijaamua kama niwafundishe vijana warun wenyewe au wawe waajiriwa ili risk na return iwe kwangu nafikiria jinsi ya kuipaa jamii kitu kizuri
 
Una charge bei gani kufundisha hiyo course? am interested.
 
U need to kno or have a concept on

1. Financial Risk Management
2. Investment Analysis & Portfolio Management
3. Financial and Capital Markets
4. Corporate Finance

Kuna vitabu vyake (Kimoja si chini ya £ 50 ) vinakupa somo from scratch ni uwe na juhudi ya kujiongeza kuna numbers nyingi tu ila kikubwa ni kuelewa. Its a wide field man trust me hata nlivyo graduate chuo kuna mengi sanaa still ya kujifunza.

Instruments sio hisa tu. Kuna nyingi tu unaweza invest i.e. treasury bills, options, futures, swaps, certificate of deposits etc.

Ni uwanja mpana sanaa. U cant learn overnight. Kila siku utajiona bado hujui kitu.
Huo ujinga kwenye red ulivyonisumbua chuoni sina hamu nao.. Pamoja na kwamba hilo somo nilifaulu vizuri lakini hiyo Semester hata pombe nilikuwa nakunywa kwa machale..

Work on that bro.. Kuna vijana Europe wanapiga hizi mambo wanatengeneza pesa nzuri sana.. Lakini shida inalala kwenye hizo Market trends, sometimes kampuni zinapandisha au kushusha bei makusudi.. Sasa hawa DSE unaweza wameidouble ili watu waingie kichwa kichwa alafu price itaganda hapa 1000-1300 kwa miaka..
 
Una charge bei gani kufundisha hiyo course? am interested.

Nimekutumia material jipime sio kila kitu ni hela angalia kama una interest na unaweza kuhimili shock halafu nitakutumia Saikologia ya masoko uone kama uko fit maana kwenye biashara hii inabidi ujifunze kutoendana na hisia zako. Faida na hasara zipo ila lazima uwe na system ambayo faida inakuwa kubwa kuliko hasara ili kusonga mbele.
 
Una charge bei gani kufundisha hiyo course? am interested.
Hao jamaa tatizo wengine ni matapeli.. Mimi nilishamtumia mmoja wa UK akaniingiza mjini lakini angalau sikutupa pesa nyingi huko..

Huwa wanakutumia price na maelekezo inakuwa unatrade na pesa kwenye account inaongezeka vizuri tu.. Sasa kimbembe ukitaka uitoe hiyo pesa urudishe kwenye Account yako ya bank ndio hapo wanapoanza sound..
 
Prices kwenye stock market yetu inamove kutokana na forces za deman na supply!! Hizo share zilihitajika kwa kipi mpka zipande kwa kiasi hicho.
Nikuarifu tu, mimi ni mdau wa DSE miaka mingi, kwa sasa share prices zinaporomoka kwa kasi kubwa sana. Volume ya trading imeshuka sana. Watu hawana hela.
Na ndio maana DSE wakapandisha share zao mpaka kuwa double priced.. Wanataka pesa, na wanajua watu wataingia kichwa kichwa wakijua zitaendelea kupanda zaidi..

Ushauri tu, kama ulinunua kwa 500, uza chote kilichozidi hapo juu ubakize huko Primary Investment..
 
Nikianzisha kufundisha nitaonyesha live yangu ila wanafunzi wote wanafunguliwa demo credible broker FXCM, Forex.com na Gcitrading nimekuwa nikiwatumia wako vizuri. Bado sijaamua kama niwafundishe vijana warun wenyewe au wawe waajiriwa ili risk na return iwe kwangu nafikiria jinsi ya kuipaa jamii kitu kizuri
No problem but I'm very suspicious na forex trading especially by individuals ambao are not knowledgeable enough with limited capital, is a high risk and high reward business be carefully unaweza kuja kulaumiwa baadaye
 
Aisee acheni tu zile hisa za DSE zilizokuwa zinauzwa 500 mwezi uliopita kuanzia wiki hii zimeanza ku trade kwenye secondary market kwa bei ya mpaka 1100. Yaani roho inaniuma sana maana hii opportunity nilikuwa naiona kabisa kwamba hii equity ya DSE ilikuwa ni hot cake sema sikuwa na pesa.

Acheni kabisa jamani Umasikini ni laana and knowledge is power. Just imagine after mwezi mmoja tu unapata return ya 100%. Is this not madness? Nimeona mtu anauza share zake 50000 kwa bei ya 1000 na yeye alinunua kwa 500 yaani ametengeneza 25,000,000 profit per month.

Damn... Fvck poverty Fvck poverty... kweli kuwa tajiri ni akili yako na sio kufanya kazi mpaka mikono itoke sugu. Wakulima endeleeni kupalilia mazao ila kuna mpuuzi nimemuona katengeneza 25M ndani ya mwezi mmoja .. mamamamaaaaeee
Umaskini mbaya sana ndugu...hata mimi siamini nnachoona daaah najuuuta!!!! Ila nnacho amini nafasi itatokea tena na ikitokea watajuta kunijua!
 
Na ndio maana DSE wakapandisha share zao mpaka kuwa double priced.. Wanataka pesa, na wanajua watu wataingia kichwa kichwa wakijua zitaendelea kupanda zaidi..

Ushauri tu, kama ulinunua kwa 500, uza chote kilichozidi hapo juu ubakize huko Primary Investment..
DSE has nothing to do with share price, its all about supply and demand
 
Back
Top Bottom