Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,219
- 4,064
Of coz sijui biashara waliyoifanya mpaka wakaatrack watu kununua hisa kwa hiyo bei. Labda unifundishe mimi.Sasa mdau wa DSE miaka mingi hujui DSE wanafanya biashara gani? hahahahaha.. mkuu umefanya jumapili yangu kuwa nzuri sana😀😀😀😀😀😀
Wamedeclear dividend? Kuna inside information kuwa faida yao imekuwa kubwa sana?