Nawaonyeni hata mkishusha viingilio Simba vs Asec hatuiingii uwanjani

iyokichiku

Member
Joined
Oct 30, 2023
Posts
36
Reaction score
70
Bado tuna maumivu makubwa ya kufungwa 5-1 hivyo hamu ya kwenda uwanjani kiuhalisia haipo hata Kama mtazunguka dar nzima.

Wachezaji hawatupi matumaini ya kushinda kwani hawajitumi utadhani wanacheza bure na hawalipwi mshahara.

Viongozi hawaonyeshi nia ya kuwajibika na kujitathmini.
 
Naunga mkono hoja
 
Nakazia

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Hawajitumi au ndio uwezo wao, yani kila siku kila mara(in pierre voice) mnasingizia wachezaji hawajitumi wakati ndio uwezo wao ulipoishia[emoji23]
Anayejituma ni Kibu D tu ndio maana game na Yanga alipotoka tu Yanga wakawa wanateleza tu hatimaye wakapata magoli manne zaidi. So Kujituma kunakozungumziwa ni kile anachokifanya Kibu D yaani Maximum delivery akiwa uwanjani [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…