iyokichiku
Member
- Oct 30, 2023
- 36
- 70
Bado tuna maumivu makubwa ya kufungwa 5-1 hivyo hamu ya kwenda uwanjani kiuhalisia haipo hata Kama mtazunguka dar nzima.
Wachezaji hawatupi matumaini ya kushinda kwani hawajitumi utadhani wanacheza bure na hawalipwi mshahara.
Viongozi hawaonyeshi nia ya kuwajibika na kujitathmini.