heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Learn how to write..........
I love Diamond..........
Young boy,
Of course ni habari njema lakini staili yako ya kuiwasilisha ndio inaudhi.
Grow up!
Learn how to write..........
I love Diamond...........he knows what he is doing
Learn how to write..........
I love Diamond...........he knows what he is doing
kama staili yenu ya kuchangia inavyokera
Ingawaje sifahamu u keep on posting stuffs about Diamond, but for me this's all about how business works! Hata kama si lengo lako, but positive thinking may assume what u're doing is promoting Diamond; which's good in this competitive environment. So, if that's so, then I'd assume kwamba ungekuwa unatoa promotional/commercial driven posts in favor of Diamond instead of mipasho au kutaka kushindana kwa vijembe dhidi ya wale wasiompenda the guy. This's all about business business brada, kama mtu anamponda Diamond, why don't you respond to that particular post just by saying "u're welcome, ur concern is highly appreciated and we're gonna work on it!" u gonna loose nothing, but keep u professional and paint good image of ur guy. That's all chuck, u can take it or dump even into the dustbin!kama staili yenu ya kuchangia inavyokera
So diamond akikuomba penzi unagawa... πππ
Ingawaje sifahamu u keep on posting stuffs about Diamond, but for me this's all about how business works! Hata kama si lengo lako, but positive thinking may assume what u're doing is promoting Diamond; which's good in this competitive environment. So, if that's so, then I'd assume kwamba ungekuwa unatoa promotional/commercial driven posts in favor of Diamond instead of mipasho au kutaka kushindana kwa vijembe dhidi ya wale wasiompenda the guy. This's all about business business brada, kama mtu anamponda Diamond, why don't you respond to that particular post just by saying "u're welcome, ur concern is highly appreciated and we're gonna work on it!" u gonna loose nothing, but keep u professional and paint good image of ur guy. That's all chuck, u can take it or dump even into the dustbin!
you're right! Na ndio maana tunajaribu kuelimishana...hakika ni tatizo si kidogo.mkuu haya mambo hutegemea uelewa wa mhusika huyo kijana ana mikato ya mipasho mno na inaonesha anawadungishia mahasimu wao but ni tabia isiyopendeza kwa watoto wa kiume
Hi Mimi ni shabiki mkubwa wa Diamond. Ila jifunze uandishi wa kuvutia, Mfano, Diamond Aselebuka na watoto, Au Diamond atoa msaada wa masomo , kupenda au kutopenda waachie wasomaji, ni ushauri tu!waalimu washanza so nini hujakielewa kwenye huo uandishi??na wewe hayo ma dot dot manake nn
Hi, Mimi ni shabiki mkubwa wa Diamond. Ila jifunze uandishi wa kuvutia, Mfano, Diamond Aselebuka na watoto, Au Diamond atoa msaada wa masomo , kupenda au kutopenda waachie wasomaji, ni ushauri tu!waalimu washanza so nini hujakielewa kwenye huo uandishi??na wewe hayo ma dot dot manake nn
toa uthibitisho wa yeye kuwalipia hao watoto ada ....