heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Kaanda onesho la peke yake na likafanikiwa.
Kashindansha watoto kucheza ngololo na washindi watatu waliopatikana atawalipia fees miaka yote waliyobakiza shulen ikiwa ni pamoja na kuwahamishia kwenye shule zenye kiwango.
Baada ya show leaders alipanda private jet aliyoikodi mwenyewe kuwahi show iliyokuwa inamsubiri Mwanza.
Muda si mlefu tutakua Dar.
WCB WASAFI daima.