Nawapa Ufaransa masaa 48 wamwache huru Felician Kabuga hatutaki double standard

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
8,082
Reaction score
17,838
Mzuka

Nikiwa mdau wa haki na usawa sipendi maonevu.

Ufaransa mara moja imuache huru ndugu Felician Kabuga aende ajumuike na familia yake. Naipa hadi jumanne tofauti na hapo naingia chumba maalum cha maombi halafu matokeo yake mtaona.

Inawezekanaje kuwe na double standard kwa kumuacha Mr Slim anaenjoy freedom?

This is not right at all.
 
Soma historia ya mtu anayeitwa Yoabu. Alifanya uhalifu wa kivita ujanani akaja kuhukumiwa uzeeni. Ni sawa na Fèlician Kabuga alifanya hayo ujanani, Sasa uzeeni anajutia

Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
 
N
Mzuka

Nikiwa mdau wa haki na usawa sipendi maonevu.

Ufaransa mara moja imuache huru ndugu Felician Kabuga aende ajumuike na familia yake. Naipa hadi jumanne tofauti na hapo naingia chumba maalum cha maombi halafu matokeo yake mtaona.

Inawezekanaje kuwe na double standard kwa kumuacha Mr Slim anaenjoy freedom?

This is not right at all.
Ndo Nani huyo
 
Mkuu shukrani kwa tag kuna kitu kinaitwa appeasement policy, yaani mtu unayehisi umemfanyia ubaya basi unamuachia afanye upuuzi wote hadi amalize machungu yake!!

Hii ilitokea wakati wa vita kuu ya pili, Hitler alipoanza vituko cjui kuvamia Spain mara kupora ardhi ya Poland, walimuangalia tu maana waliona ujerumani ilivyoteseka na mkataba wa versailles. So wakawa wanamdekeza tu hadi pale alipigusa maslahi ya mabeberu!!

Same to kagame, hao magharibi wanaona kma walihusika kwenye mateso ya watutsi kuanzia 1959 hadi wakawa wakimbizi afrika nzima, so kila upuuzi wanaofanya kagame ikiwemo kuua watu huko DRC, UG na Burundi yanasamehewa sababu wanaona kma anafidia machungu yaliyosababishwa na wazungu wenyewe.

Sema ikitokea amegusa maslahi yao ndio hapo watamshughulikia, ila till then kagame ana treatiwa chini ya appeasement policy.
 
Mzuka

Nikiwa mdau wa haki na usawa sipendi maonevu.

Ufaransa mara moja imuache huru ndugu Felician Kabuga aende ajumuike na familia yake. Naipa hadi jumanne tofauti na hapo naingia chumba maalum cha maombi halafu matokeo yake mtaona.

Inawezekanaje kuwe na double standard kwa kumuacha Mr Slim anaenjoy freedom?

This is not right at all.
Dhana ya mauaji ya Rwanda ni complicated sana. Wenye mtazamo wa ki-Tutsi wana yao na upande wa wa-Hutu pia wana yao.Hakuna ufumbuzi wa wazi,haki na usawa.
 
Naomba mrejesho masaa 48 , yameshapita na jamaa atapaa mpaka Arusha kukutana na pilato.
 
Mzuka

Nikiwa mdau wa haki na usawa sipendi maonevu.

Ufaransa mara moja imuache huru ndugu Felician Kabuga aende ajumuike na familia yake. Naipa hadi jumanne tofauti na hapo naingia chumba maalum cha maombi halafu matokeo yake mtaona.

Inawezekanaje kuwe na double standard kwa kumuacha Mr Slim anaenjoy freedom?

This is not right at all.
Angalia usije ukachukua kichapo cha George Floyd huko kwa watu.....
tukaja kukufukia huku.....
 
Back
Top Bottom