Nawapa Ufaransa masaa 48 wamwache huru Felician Kabuga hatutaki double standard

Nawapa Ufaransa masaa 48 wamwache huru Felician Kabuga hatutaki double standard

Umeandika kama msomi. Thats good nami nakubaliana nawe.


Mkuu shukrani kwa tag kuna kitu kinaitwa appeasement policy, yaani mtu unayehisi umemfanyia ubaya basi unamuachia afanye upuuzi wote hadi amalize machungu yake!!

Hii ilitokea wakati wa vita kuu ya pili, Hitler alipoanza vituko cjui kuvamia Spain mara kupora ardhi ya Poland, walimuangalia tu maana waliona ujerumani ilivyoteseka na mkataba wa versailles. So wakawa wanamdekeza tu hadi pale alipigusa maslahi ya mabeberu!!

Same to kagame, hao magharibi wanaona kma walihusika kwenye mateso ya watutsi kuanzia 1959 hadi wakawa wakimbizi afrika nzima, so kila upuuzi wanaofanya kagame ikiwemo kuua watu huko DRC, UG na Burundi yanasamehewa sababu wanaona kma anafidia machungu yaliyosababishwa na wazungu wenyewe.

Sema ikitokea amegusa maslahi yao ndio hapo watamshughulikia, ila till then kagame ana treatiwa chini ya appeasement policy.
 
Back
Top Bottom