The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Labda walihusika woteKwahiyo hakuhusika kwenye Rwanda's Genoside?
Ndo Nani huyoMzuka
Nikiwa mdau wa haki na usawa sipendi maonevu.
Ufaransa mara moja imuache huru ndugu Felician Kabuga aende ajumuike na familia yake. Naipa hadi jumanne tofauti na hapo naingia chumba maalum cha maombi halafu matokeo yake mtaona.
Inawezekanaje kuwe na double standard kwa kumuacha Mr Slim anaenjoy freedom?
This is not right at all.
Mkuu shukrani kwa tag kuna kitu kinaitwa appeasement policy, yaani mtu unayehisi umemfanyia ubaya basi unamuachia afanye upuuzi wote hadi amalize machungu yake!!
Inawezekana Makonda nae akaja kuhukumiwa uzeeni ?Soma historia ya mtu anayeitwa Yoabu. Alifanya uhalifu wa kivita ujanani akaja kuhukumiwa uzeeni. Ni sawa na Fèlician Kabuga alifanya hayo ujanani, Sasa uzeeni anajutia
Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
Kama amefanya uhalifu wowote, tambua kwamba sehemu kubwa ya madhambi ya mwanaadam hulipwa hapahapa dunianiInawezekana Makonda nae akaja kuhukumiwa uzeeni ?
Basi watu wa Kimara tunaisubiri kwa hamu siku ya Magu kupata malipoKama amefanya uhalifu wowote, tambua kwamba sehemu kubwa ya madhambi ya mwanaadam hulipwa hapahapa duniani
Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
Ama kwa hakika, akionekana Ana hatia mbele za Mola, hataweza kuukwepa hukumu, la sivyo atabarikiwaBasi watu wa Kimara tunaisubiri kwa hamu siku ya Magu kupata malipo
Dhana ya mauaji ya Rwanda ni complicated sana. Wenye mtazamo wa ki-Tutsi wana yao na upande wa wa-Hutu pia wana yao.Hakuna ufumbuzi wa wazi,haki na usawa.Mzuka
Nikiwa mdau wa haki na usawa sipendi maonevu.
Ufaransa mara moja imuache huru ndugu Felician Kabuga aende ajumuike na familia yake. Naipa hadi jumanne tofauti na hapo naingia chumba maalum cha maombi halafu matokeo yake mtaona.
Inawezekanaje kuwe na double standard kwa kumuacha Mr Slim anaenjoy freedom?
This is not right at all.
Angalia usije ukachukua kichapo cha George Floyd huko kwa watu.....Mzuka