Nawapa ushauri wa bure mliofeli GS form six.

bluetooth23

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2013
Posts
348
Reaction score
326
ndugu zangu, bila S ya GS huwezi kwenda chuo kikuu. Kwa taratibu na kanuni za TCU na vyuo vikuu GS ndo inasapot perfomance yko kwny comb uliyosoma. Hvyo hata upate div one ya points 3 bila kufauku GS bs hujakidh vgezo vya kuiona degree.

Hvyo mliofeli GS labda urisit upya somo hlo au uende diploma au vyuo vngne vdogovdogo vya fani mbalimbali. Wapo wanaosema Necta wamefanya makusudi kuwafelisha wanafunz somo la GS mwaka huu ili mwende diploma ya ualimu kwa wing lakin cna hakika na hli. Ila kama umefeli GS kwa taratbu za TZ huwez kwenda chuo kikuu chochote.

Jipangeni
 
Mkuu kumbe mambo yapo hivyo, basi labda Mungu aingilie kati tena ili tokeo la GS lifutwe na tume iundwe ili wachakate mpya.....

BTW: Pole kwa wahanga wote.
 
Kama ni hivo basi vyuo vitakosa watu mwaka huu maana S za GS zinahesabika!!!Tutarajie kupata wasoma engineering na udaktari kiduchu sana maana PCM na PCB ndo wameongoza kwa kulamba F za GS.
 
si kweli.....rafiki zangu walipata F za GS miaka miwili iliyopita na mmoja nasoma nae engineering UDSM mwingine anasoma architecture ARU.....sijui hiyo rule ni mpya kiasi gani??..
 
Labda kama huo utaratibu umerudishwa baada ya kuanzishwa TCU,lakini nakumbuka ulikuwepo awali ila ndani ya miaka kama sita iliyopita haukuwa ukitekelezwa..
 
Hahahaa" unaweza ukapata F za Gs na chuo ukaenda msiwe na shaka mliopata F za Gs
 
hii nchi, kuna watu wanafeli GS?? ndo taabu ya kushinda facebook/twitter, club kila siku, wanashindwa kujiupdate kwa masuala yanayoendelea nchini na duniani...no wonder graduates hawawezi hata kujielezea kwa lugha ya kigeni...16 years in education, na bado ana vocabularies 20 kwenye kamusi yake, tunaowafanyia usaili vijana wetu huwa tunabaki midomo wazi, mtu unamwambia, tell us abt urself, unaanza kuchanganyiwa tenses humo, tanzania my country, where is u heading??
 

sa unashanganini?ebu fanya analysis ya watu walofeli gs utagundua kitu mguu,lazima kutakuwa na tatizo mahali haiwezekani wanafunzi wafeli gs kuliko masomo ya kwenye michepuo yao.Amini usiamini hapo kuna kitu
 
law udsm na wamefeli GS business as usual:heh:
 
Acheni kupotosha na kuwakatisha tamaa hawa wadogo zetu jaman.
Kuna jamaa zangu wa3 2po nao sasa mwaka wa 2 yaan mwaka wa3 watarajiwa walikuwa na f gs na wapo hapa na mkopo km kawa.
Msijali wadogo zetu chuo mtapata,karibuni sn.
 
Where is you heading????....we mwenyew hapo ulipo una matatizo na kiingereza chako unawasema wenzio hawana vocabulary.....
Jipange we hujiulizi karibu nusu ya wanafunzi wamefeli gs kunani???
 

juu ndio vigezo vinavyohitajika kwa muombaji nivichukua kutoka tcu guide book tena ni revised sijaona hii kitu sasa sijui hebu tuambie wewe umeitoa wapi..
 
Acha kudanganya watu wewe...mbona watu kibao chuon wana f za g.s na wanasoma...au hutaki wenzako waende chuo!?
 
Iyo sheria imeanza lini? Nimemaliza mwaka 2010 nna div 1 point 6 na nlikua na F ya GS na mwaka huu nachukua bachelor yangu
 
wat2 kMa machizi kidogo tcu wanataka principal mbili 2.0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…